ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Wengine ni wazuri alafu ukijaribu tu shetani na yeye anakaziaSijui kwanini nimetetemeka Sana baada ya kusoma hiyo number one
Tutaandamana tarehe 23.09/3024.Kwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia.
1. Achana kabisa na wake au waume za watu.hata wanawake wamekuwa wakatili so mpenzi wa mtu achana naye kabisa.dhambi huwa inatabia ya kukuelemea utasema unafanya siri kakini ukijulikana ni hatari.
2. Punguza pombe au kurudi home usiku sana hasa ukiwa unaendesha gari au pikipiki.
3. Vaa kondom kama una tabia ya uzinzi.
4. Usipingane sana na dola harakati mwisho wake ndo huo kwa sasa tusishindane nao wakuu.
5. Usigombane ovyo na watu
7. Usimdhulumu mtu yeyote HAKI yakeKwa sasa nchi yetu au tuseme dunia kifo kipo nje nje ni suala la kumtegemea tu Mungu wako ila yako mambo ya kuzingatia.