Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Interesting topic, to me life in general is mysterious, we know pretty much nothing, nikiangalia how big the universe is,naona vitu kama dini au life theories nyingi ni kichekesho tuu, we don’t even know tumetoka wapi na tunakwenda wapi,maybe kuna siku tutajua hii siri kubwa
 
Hakika ila binadamu yuko soo complacent, hataki kujifunza
 
Na hapo ndio utaona waliotunga dini zote waliconcentrate kwa kiumbe kimoja wakasahau viumbe wengine.

Soga za dini zina mapungufu mengi ya kiutunzi.

Ila jamaa waliotunga dini wanajua sana.
 
Binadamu hasa mzungu ni tapeli la kufa mtuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ukiangalia documentaries za wanyama pori wanavyoishi na harakati zao za kila siku unapata kuona binadamu ni mnyama kama mnyama mwingine.

Hawa wanyama tunawachukulia less inteligent hawa wazee ni noma sana ukute na wao wanatuona viazi tu.

Game ya life mbugani huwa ni kivumbi kama lilivyo game la uraiani.Mechi za kukimbizana na mishemishe kuwin bread ni sawa tu.Maisha mchaka mchaka hakuna kupoa.


Binadamu kwa utapeli wake amejipa umuhimu usio na uhalisia.
 
Facts, ila mimi naona binadamu kapewa uwezo ambao hakuna mnyama ataweza kuwa nao
 
Acha hizo bangi
 
Dini haikumlenga binadamu pekee!
ila binadamu amejitengenezea mazingira mixer na stori za kusadikika ametunga kujimwambafai kuwa yeye ndio most intelligent above other animals.

Wakati binadamu ndio tapeli ya matapeli kwa wanyamo wote.Binadamu ameforji kila kitu kutoka kwenye nature.Na sasa anahaha dunia kaiharibu inaedanza kumshida kuiongoza.
 
Facts, ila mimi naona binadamu kapewa uwezo ambao hakuna mnyama ataweza kuwa nao
Kapewa na nani???

Uwezo gani binadamu alionao ambao ukiwatazama wanyama wengine wao hawana.

Zaidi binadamu ameiharibu dunia ambayo ilikuwa imejibalance in ever sense to support life to the fullest.
 
Brain capacity
Complex bodily systems

Super intelligence
Fatilia zile documentaries za wanyama ndo utajua binadamu huenda hiyo brain capacity yake ni ndogo mno kuliko ya wanyama pori.

sometimes nahisi hawa waliotunga hizi stori za kumkuza binadamu wametudanganya pakubwa.

Hao wanyama wako more intelligent and sophisticated wacha kabisa my friendπŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa kwa nini wako kidogo?

Having better and good brain 🧠 makes you more able to control others. So you take over

Intelligence walo ayo most of it ni instinctual ku support maisha yao tu. Hawana brain capacity kubwa for memory so inakuwa haina effect
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…