Kifo Ni Udanganyifu? Nishati

Ndo maana mimi kila siku nasema we humans despite having big brains we are the dumbest creatures.

Lakini pia Ukija kuangalia vitu tunavyo fagilia ni ujinga tuu, tunaharibu mazingira na kudhani nature won't balance
Wanyama wana akili kuliko sisi binadamu ingawa wote ni wanyama
mbwa mwenye miaka mitatu ana akili za mtu wa miaka zaidi 18

Kuhusu kifo ni swala ambalo lina utata labda ujue kabla hujazaliwa ulikuwa wapi?
Kama energy haina ufahamu basi hata ukifa utakuwa huna ufahamu

Na kama energy can neither be created nor destroyed imetokea wapi na chanzo chake ni nini?
Tuanzie na source ya energy/nishati.
 
Haina mwanzo wala mwisho
 
Kwenye kuujua ukweli. Maana hakuna empirical evidence inayoonesha ukweli madai yote bado ni za nadharia tu.
What if the truth is beyond human comprehension using senses?

When we say we are spiritual beings habouring human vessel what do we mean?
 

Hahaha
 
Ugume wake ni kuwa hakuna mwenye uhakika 100% wa kinachotokea baada ya kifo.
Kwani unajua ulianza wapi kabla hujaja?
What if the issue isn't a destination but realizing there's no start or end
 
Deep!
 
You're mind is still clinging on 3D bado hujakuwa kifikra
Una uhakika sijakua kifikra sababu akili yangu inasoma 3D?

OK nikuulize mind yako ipo kwenye 4D au 5D?
Mkuu usilazimishe watu wafikiri kama unavyofikiri wewe..

Hapa duniani tumekuja na hatujui tulipotoka na hatujui tunapoenda..
Ni kama mtu akuambie alikutana na jini au malaika kwenye 5D au 4D au 3D.. utamwamini?!
 
Every dimension is accessible open your 3rd eye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…