Jamani naombeni msaada nashangaa kwamba kifua changu kushoto ni kiKubwa cha kushangaza cjawai kunyanyua chuma pia upande huohuo nasikia maumivu kwa ndani hadi mgongoni mimi na miaka 18
ww itakuwa ni barehe maana ukibarehe kifua kinatanuka kitu hicho kinaitwa gynecomastia au pysdo gynecomastia yani maziwa yote au ziwa LA upande mmoja
Ili linajitokeza kipindi cha barehe na litaondoka lenyewe ila ni vema utume picha