Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,412
[h=3]Kifua Kikuu Kinarudi Kwa Kasi - Safari Hii Haitibiki!!![/h]
Wadau, ugonjwa wa kifua kikuu kinarudi kwa kasi duniani. Huko London, Uingereza watu wanaambukizwa ile mbaya. Ile tiba ya kawaida ya antibiotics za miezi sita ni kazi bure. Hii ya sasa ni kali na haitibiki, imekuwa sugu kwa dawa. Ugonjwa wa Kifua Kikuu hauchagui maskini wala tajiri. Mungu atunusuru!
Mnaweza kusoma habari kamili hapaa: Drug-resistant "white plague" lurks among rich and poor - Yahoo! News