Hiyo si imetokea South Africa six years ago na wakaweza kuidhibiti?!, well nadhani mbinu zilizotumika huko zitatumika na kwa UK. Mungu apitishie mbali ili balaa hili lisije east africa ambako mtu akiugua huanza kwenda kwa babu kwanza kunywa kikombe na ku-share na jamii............