Kifua kinabana,nimetumia dawa lakini wapi

Kifua kinabana,nimetumia dawa lakini wapi

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
586
Nitumie dawa gani wadau ,kifua kinabana na sasa mara moja moja napumua kwa tabu.
 
Konyaginchanganya na redbull

1*2

For 7days avoid sex
 
Mwenzake anaumwa yeye anafanya dhihaka,
 
Jaribu mazoezi mepesi kama 30 mins kila siku kwa wk 1 au 2 ukipata nafuu endelea nayo, kama una mwili mkubwa punguza uzito smtms ni sababu, kama mvutaji acha mara moja. Lkn pia uwa ni dalili ya stroke hivyo angalia hilo pia
 
Pole, Nenda hospitali mkuu. Kama kifua kinakubana na unapumua kwa shida isije kuwa una pumu au ni dalili ya ugonjwa meimgine.
 
kapime hospital ukikuta ni pumu rudi hapa nitafute nikupatie dawa maana hospital hakunaga dawa ya pumu utaangaika saana.
 
kafanye chest xray kuangalia size ya moyo
 
Back
Top Bottom