T tpmazembe JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 2,469 Reaction score 586 Dec 1, 2014 #1 Nitumie dawa gani wadau ,kifua kinabana na sasa mara moja moja napumua kwa tabu.
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Dec 1, 2014 #2 Konyaginchanganya na redbull 1*2 For 7days avoid sex
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Dec 1, 2014 #3 Mwenzake anaumwa yeye anafanya dhihaka,
M masssaiboi JF-Expert Member Joined Feb 10, 2009 Posts 636 Reaction score 134 Dec 1, 2014 #4 Jaribu mazoezi mepesi kama 30 mins kila siku kwa wk 1 au 2 ukipata nafuu endelea nayo, kama una mwili mkubwa punguza uzito smtms ni sababu, kama mvutaji acha mara moja. Lkn pia uwa ni dalili ya stroke hivyo angalia hilo pia
Jaribu mazoezi mepesi kama 30 mins kila siku kwa wk 1 au 2 ukipata nafuu endelea nayo, kama una mwili mkubwa punguza uzito smtms ni sababu, kama mvutaji acha mara moja. Lkn pia uwa ni dalili ya stroke hivyo angalia hilo pia
sinachangu Member Joined Nov 4, 2014 Posts 47 Reaction score 17 Dec 1, 2014 #5 Pole, Nenda hospitali mkuu. Kama kifua kinakubana na unapumua kwa shida isije kuwa una pumu au ni dalili ya ugonjwa meimgine.
Pole, Nenda hospitali mkuu. Kama kifua kinakubana na unapumua kwa shida isije kuwa una pumu au ni dalili ya ugonjwa meimgine.
Chokochoko JF-Expert Member Joined Oct 15, 2011 Posts 438 Reaction score 184 Dec 1, 2014 #6 kapime hospital ukikuta ni pumu rudi hapa nitafute nikupatie dawa maana hospital hakunaga dawa ya pumu utaangaika saana.
kapime hospital ukikuta ni pumu rudi hapa nitafute nikupatie dawa maana hospital hakunaga dawa ya pumu utaangaika saana.
Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Dec 1, 2014 #7 kafanye chest xray kuangalia size ya moyo
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Dec 1, 2014 #8 Ni dalili za pumu,nenda hospitari mkuu...