ahh jamani...niunge tela nini faiza maana nakumisi sana ukipotea weye
hahahah ushakuwa teja sio...ngoja nikuangalie namna gani naweza zamia msafara huu!Twende for 2 days, wageni wangu wanarudi kesho, nadhani InshaAllah tutaondoka na boat ya saa tisa na nusu, tunarudi Wednesday jioni. Naenda kujiachia Forodhani siku mbili. Lakini kaa BB kangu ntakuwa nacho ntaingia ingia humu kuchungulia. Maana nshakuwa teja la JF.
hehehehe dah! si hii gym bana halaf result guaranteed. nitakaa mwezi ili kuburn na mafuta ya sehem za kichogoni.mhh kumbe una mtambi weye...njoo mwananyamala nikuchakachue baada ya wiki huhitaji kuinama kumuona kloro!
hahahahahaah mafuta hayo ya uchogoni yana ujuzi wake kuyachakachua atii!hehehehe dah! si hii gym bana halaf result guaranteed. nitakaa mwezi ili kuburn na mafuta ya sehem za kichogoni.
Si ndio maana naomba booking ya mwezi, waage kazini kabisa waambie umefiliwa zimbabwe. heheehhe tambi langu kwishneyy kabisa.hahahahahaah mafuta hayo ya uchogoni yana ujuzi wake kuyachakachua atii!
hahahahahhahahahahha Zimbabwe kumetulia ntawaambia naenda Libya au Afghanistan,ili hata uchakachuaji ukiongeza siku wajue nimekwama huko...liage kabisa maana nasikiaga watu wenye matambi mkiamka huwa mnayapapasa kuyafanya yatulie siku nzima....ukisahau kulilipasa hamna ataekaa jirani yako!Si ndio maana naomba booking ya mwezi, waage kazini kabisa waambie umefiliwa zimbabwe. heheehhe tambi langu kwishneyy kabisa.
hahahahahhahahahahha Zimbabwe kumetulia ntawaambia naenda Libya au Afghanistan,ili hata uchakachuaji ukiongeza siku wajue nimekwama huko...liage kabisa maana nasikiaga watu wenye matambi mkiamka huwa mnayapapasa kuyafanya yatulie siku nzima....ukisahau kulilipasa hamna ataekaa jirani yako!
waambie watashangaa na roho zao.....nyakutengeneza na misuli kabisa ukirudi wataulizana,nshamwambia mama mwenye nyumba nahitaji chumba cha dharura maana nna mgeni wa hishma hasaaa,hataki usumbufu!Washkaji walikuwa wananiita "kaburi la mjamzito" bana! kulaleki! nikiludi kwa shosti watakoma!
Kama mama mwenye nyumba umri unaruhusu na anauzika acha na yeye ashiriki tu, huenda ikasaidia akakupunguzia kodi.waambie watashangaa na roho zao.....nyakutengeneza na misuli kabisa ukirudi wataulizana,nshamwambia mama mwenye nyumba nahitaji chumba cha dharura maana nna mgeni wa hishma hasaaa,hataki usumbufu!
hahahhahahahah hiyo sasa kali...hata sijajua kama kitambi hiki kinahitaji usaidizi kukichakachua unaalika na wengine jamani!Kama mama mwenye nyumba umri unaruhusu na anauzika acha na yeye ashiriki tu, huenda ikasaidia akakupunguzia kodi.
hahahhahahahah hiyo sasa kali...hata sijajua kama kitambi hiki kinahitaji usaidizi kukichakachua unaalika na wengine jamani!
hahahahaha huyu hana tatizo huyu...nimemshika pabayaHapo nimeangalia zaidi maslahi yako, ihsani inalipwa kwa shukrani, lengo kuu ni mama mwenye nyumba apunguze kodi!
nilichohtaj kukifaham nimekwishafahamu,dats all!comments nyingi wamekwishakupa wahusika sasa tujuze kitakachoendelea baada ya hatua hii ndefu..............
hehehehe poa, acha nijitangazie nimekufa halaf nitie timu.hahahahaha huyu hana tatizo huyu...nimemshika pabaya
hahahah bora ili ukifa kwenli kwenye zoezi zima nisiwe matatani,maana wanajua umekufahehehehe poa, acha nijitangazie nimekufa halaf nitie timu.
Dah! kumbe kuna probability ya umauti? khaaa! acha niweke wosia kwa haka ka small house kabla sijavamia.hahahah bora ili ukifa kwenli kwenye zoezi zima nisiwe matatani,maana wanajua umekufa
Binafsi huvutiwa na mwanamme mwenye makalio yaliotokeza na si pasi wala si kifua kipana.
Ndugu zangu wanaJF,kuna mtindo siku hz wa akina dada kupenda wanaume wenye vifua vipana regardless ana sura nzuri au mbaya,hv ni nini hasa kinachowavutia wanawake kwa wanaume wenye vifua vikubwa? Ningepata comments nyngi zaidi kutoka kwa wahusika wenyewe ingependeza zaidi,nawasilisha bandugu!!