Kifuatacho ni kitu gan ndan ya BONGO FLEVA

Kifuatacho ni kitu gan ndan ya BONGO FLEVA

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe kwenu katika bwana wapendwa

Kama kichwa cha habali kilivyo hapo juu..

Kwanini wasanii wetu kwa sasa kila siku wanaachia ngoma mpya kuna huko mbelen wanajiandaa na nini yaan na kitu gan

Je au kuna tamasha huko mbelen au uchaguz umekalibia kwa ajili ya show

Je au kuna tunzo zinakuja huko mbelen

Naomba kujua maana nimechoshwa na utitiri wa ngoma mpya kila siku

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Mzik umeingia stress na weng wao walvyo ikimbia shule bas wanaamin katika kutafuta kick za kijnga achana na wale wa pcha za uchi....
 
Wanafanya kazi zao mkuu...mziki ni biashara siku hizi sio wa kujifurahisha kama enzi zile
 
Nenda Naijeria huko,kina Davido wanaachia nyimbo mbili kwa siku moja,Mr fleva anaachia nyimbo zenye Video Tano wiki hii kwa siku moja[emoji23][emoji23]unashangaa wabongo?!
 
Back
Top Bottom