Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 19,976 Reaction score 32,195 Jul 6, 2017 #1 Aman iwe kwenu katika bwana wapendwa Kama kichwa cha habali kilivyo hapo juu.. Kwanini wasanii wetu kwa sasa kila siku wanaachia ngoma mpya kuna huko mbelen wanajiandaa na nini yaan na kitu gan Je au kuna tamasha huko mbelen au uchaguz umekalibia kwa ajili ya show Je au kuna tunzo zinakuja huko mbelen Naomba kujua maana nimechoshwa na utitiri wa ngoma mpya kila siku Nawasilisha LONDON BABY
Aman iwe kwenu katika bwana wapendwa Kama kichwa cha habali kilivyo hapo juu.. Kwanini wasanii wetu kwa sasa kila siku wanaachia ngoma mpya kuna huko mbelen wanajiandaa na nini yaan na kitu gan Je au kuna tamasha huko mbelen au uchaguz umekalibia kwa ajili ya show Je au kuna tunzo zinakuja huko mbelen Naomba kujua maana nimechoshwa na utitiri wa ngoma mpya kila siku Nawasilisha LONDON BABY
mkorea JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 7,938 Reaction score 17,729 Jul 6, 2017 #2 Mzik umeingia stress na weng wao walvyo ikimbia shule bas wanaamin katika kutafuta kick za kijnga achana na wale wa pcha za uchi....
Mzik umeingia stress na weng wao walvyo ikimbia shule bas wanaamin katika kutafuta kick za kijnga achana na wale wa pcha za uchi....
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 6, 2017 #3 Wanafanya kazi zao mkuu...mziki ni biashara siku hizi sio wa kujifurahisha kama enzi zile
ZamdaIssa JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 879 Reaction score 1,458 Jul 7, 2017 #4 Nenda Naijeria huko,kina Davido wanaachia nyimbo mbili kwa siku moja,Mr fleva anaachia nyimbo zenye Video Tano wiki hii kwa siku moja[emoji23][emoji23]unashangaa wabongo?!
Nenda Naijeria huko,kina Davido wanaachia nyimbo mbili kwa siku moja,Mr fleva anaachia nyimbo zenye Video Tano wiki hii kwa siku moja[emoji23][emoji23]unashangaa wabongo?!