Kifunga mlango uswahilini kwetu!

Hicho pia ni kipo bomba. Watu wanatumia msumari pekee!
 
Wizi umezidi sana siku hizi ndo maana watu wanaweka milango ya garama pamoja na magril na mageti mya nguvu.
Watu wangekuwa wanapendana, na wanaishi vizuri, milango ya uswahilini bado ingekuwepo
 
Hilo ni gunia au nini? mbona picha haionekani vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…