Maoni yangu tu mkuu kutokana na makosa aliyoshtakiwa nayoWewe sio hakimu
Afungwe miaka mingi kwani alikuwa anamlazimisha mtu mkuu?Huyu alipaswa kufungwa miaka mingi jela
Una uhakika wote aliowanajisi hakuna ambao aliwaforce?Afungwe miaka mingi kwani alikuwa anamlazimisha mtu mkuu?
Walipokuwa wanaona shehena za vimiminika vya mafuta ya watoto vikishushwa malori kwa malori ndani kwa jamaa na hana mtoto mdogo walitegemea nini?
Ivi huyu jamaa hana mtoto au hana mtoto mdogo?Afungwe miaka mingi kwani alikuwa anamlazimisha mtu mkuu?
Walipokuwa wanaona shehena za vimiminika vya mafuta ya watoto vikishushwa malori kwa malori ndani kwa jamaa na hana mtoto mdogo walitegemea nini?
Na wewe una uhakika hakuna ambao hakuwanajisi ktk waliomshtaki?Una uhakika wote aliowanajisi hakuna ambao aliwaforce?
Mwanae wa mwisho jamaa ana miaka kama saba hivi kama sikosei!Ivi huyu jamaa hana mtoto au hana mtoto mdogo?
Mpaka wanamshitaki si walishapata evidence kabisa kuwa alihusika katika matendo waliyomhukumu kuwa amefanya? Je? Pdiddy asingekuwa mtu mwenye pesa na ushawishi angepunguziwa hiyo adhabu yake? Angekuwa aliyekutwa na hatia ya kosa kama la pdiddy ni mtu wa kawaida asiye na umaarufu angepunguziwa muda wa kukaa jela au angeongezewa?Na wewe una uhakika hakuna ambao hakuwanajisi ktk waliomshtaki?
Mkuu mfumo wa sheria wa wenzetu hauzingatii hayo haya yapo tu huku kwetu tusiojitambua!Mpaka wanamshitaki si walishapata evidence kabisa kuwa alihusika katika matendo waliyomhukumu kuwa amefanya? Je? Pdiddy asingekuwa mtu mwenye pesa na ushawishi angepunguziwa hiyo adhabu yake? Angekuwa aliyekutwa na hatia ya kosa kama la pdiddy ni mtu wa kawaida asiye na umaarufu angepunguziwa muda wa kukaa jela au angeongezewa?
Kabsa sisi kama marafik wa dhati wa Sean huku afrika lazma tuamuandalie hiyo bamia akitoka maana villainishi vya mafuta haturuhusiw tena, tunakula bamia ili tusiwachubue donat tutakua tunatoa mucus wenyewKubwa la Maadui kafurahia sana, anamuandalia ugali bamia hapo mikorochini
Subhanallah!🤔
qmmq bado ana safari ndefu .2028 parefu mno.Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru Januari 2028.
Soma: P Diddy apunguziwa muda wa kukaa Jela, sasa kutoka Februari 23, 2028
Diddy Alihukumiwa Rasmi Oktoba 2025 Kutumikia Kifungo Cha Miezi 50 Jela Kwa Makosa Ya Kingono
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
"Hapo zamani,nilimpenda huyo mjamaa".I once upon a time, like that man.