Kwa vile magugu ni mengi katikati ya ngano, tuache hadi wakati wa mavuno, kwani ukianza kung'oa magugu sasa hivi unaweza kung'oa na ngano. Wakati wa mavuno umekaribia (2011 -2014 Mchakato wa katiba mpya) ndipo utakuwa wakati mwafaka wa kukata magugu na ngano halafu zitachujwa wakati wa kupepeta/kuchambua.