Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political, cultural, production, education entrepreneurship, management, leadership ot whatever, we always fail if not falling short and one has to wonder, TUNA MATATIZO GANI?
Is it psychological issues, colonial wounds, inferiority complex or just our nature?

It is true and I just don't know why.Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political, cultural, production, education entrepreneurship, management, leadership ot whatever, we always fail if not falling short and one has to wonder, TUNA MATATIZO GANI?
Is it psychological issues, colonial wounds, inferiority complex or just our nature?
Mwanakijiji, hayo yote au mengi ya uliyoyasema na kuyataja yanahusu Tanzania. Je, ina maana na kwingineko Afrika hususan kusini mwa sahara (black Africa) na kwenyewe tatizo lao ni uongozi mbovu? Kama ni hivyo ina maana uongozi mbovu ni common denominator Afrika nzima kusini mwa jangwa la sahara. Sasa kwa nini kote huko kuwe na uongozi mbovu? Ndivyo Tulivyo kuwa hatuwezi uongozi? What is it? Maana mimi siamini kabisa kuwa hizo nchi zingine za Kiafrika zimetuzidi kihivyo. Nimeshabahatika kutembela baadhi ya nchi za Kiafrika na sikuona lolote la ziada tulilozidiwa. Kama ufisadi hata Cameroun upo. Kama vya kupenda vya Ulaya basi hata Niger wanapenda vya Ulaya. Sasa nisichoelewa ni kwa nini Afrika nzima kusini mwa sahara ni sehemu iliyo ktk kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Sielewi kabisa hili. Inakuwa kuwaje eneo kubwa kama hili kiwango cha maendeleo kinakuwa kimefanana sana?
Bara la Ulaya sio nchi zote zilizoendelea saana kihivyo. Hakuna uniformity ya maendeleo. Huwezi kulinganisha kwa mfano maendeleo ya Ujerumani na Uholanzi na yale ya Romania. Lakini hata hao Romania wameendelea kuliko nchi karibu zote kama sio zote kabisa za Afrika, Sasa huu uongozi mbovu ina maana upo Afrika nzima? WTF.....
Mwanakijiji, hayo yote au mengi ya uliyoyasema na kuyataja yanahusu Tanzania. Je, ina maana na kwingineko Afrika hususan kusini mwa sahara (black Africa) na kwenyewe tatizo lao ni uongozi mbovu?
Kama ni hivyo ina maana uongozi mbovu ni common denominator Afrika nzima kusini mwa jangwa la sahara. Sasa kwa nini kote huko kuwe na uongozi mbovu? Ndivyo Tulivyo kuwa hatuwezi uongozi? What is it? Maana mimi siamini kabisa kuwa hizo nchi zingine za Kiafrika zimetuzidi kihivyo. Nimeshabahatika kutembela baadhi ya nchi za Kiafrika na sikuona lolote la ziada tulilozidiwa.
Hata Marekani, Japani, Ujerumani na UK ufisadi upo! Kipimo hakiwezi kamwe kuwa ufisadi. Kama uhalifu upo Detroit kama ulivyo Dar, kama wizi wa magari upo Miami kama ulivyo Nairobi; so hatuwezi kuweka kipimo kiwe uhalifu. Kama ni uchangudoa basi upo mitaa ya Ohio Dar kama ilivyo barabara ya nane hapa Detroit; hatuwezi kutumia uchangudoa kama kipimo.Kama ufisadi hata Cameroun upo.
Kama vya kupenda vya Ulaya basi hata Niger wanapenda vya Ulaya.
Sasa nisichoelewa ni kwa nini Afrika nzima kusini mwa sahara ni sehemu iliyo ktk kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Sielewi kabisa hili. Inakuwa kuwaje eneo kubwa kama hili kiwango cha maendeleo kinakuwa kimefanana sana?
Bara la Ulaya sio nchi zote zilizoendelea saana kihivyo. Hakuna uniformity ya maendeleo. Huwezi kulinganisha kwa mfano maendeleo ya Ujerumani na Uholanzi na yale ya Romania. Lakini hata hao Romania wameendelea kuliko nchi karibu zote kama sio zote kabisa za Afrika,
Sasa huu uongozi mbovu ina maana upo Afrika nzima? WTF.....
Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political, cultural, production, education entrepreneurship, management, leadership ot whatever, we always fail if not falling short and one has to wonder, TUNA MATATIZO GANI?
Is it psychological issues, colonial wounds, inferiority complex or just our nature?
Ni uongozi; uongozi; uongozi;. Damu ya mzungu ni nyekundu kama ilivyo damu ya mfipa; mtandao wa mfumo wa fahamu wa Mjerumaini umetandazwa mwili kama ulivyotandazwa mfumo wa fahamu wa Mmakua! Ukienda kwa wazungu utaona kuwa makundi yao ya damu ni sawa kabisa na yale ya wanyaturu! Ndio maana utaona kuwa katika sayansi watu weusi, wachina, wahindi, wazungu, wajapani, waarabu n.k siyo species tofauti za binadamu! Sisi sote tuko specie moja tu. So hakuna sababu ya kibaiolojia wala ya kigenetic inayoweza kumfanya mtu wa Afrika kushindwa kufanya kile ambacho kinafanywa na mtu mwingine.
.
Jibu langu ni ndiyo; yote yanaanzia kwenye uongozi na wale wanaowapa watu uongozi. Siyo sawa hasa kusema uongozi mbovu lakini zaidi ni uongozi usiona uwezo (si kwamba umeharibika).
Hapana siyo Tanzania tu.. suala la uongozi linahusu sehemu nyingi duniani; siyo za watu weusi tu bali hata za watu weupe.
Kinyume na unavyofikiria utaona kuwa hata hizo nchi za weupe si zote zimepiga hatua kubwa za maendeleo.
Bado kuna watu wanaishi katika umaskini katika baadhi ya nchi hizo. Ukienda Bulgaria, maeneo ya Georgia, Ukraine, Urusi n.k bado kuna sehemu watu wanatumia jembe la mkono na huwezi kuamini! Hiyo china yenyewe pamoja na "maendeleo" tunayoyaona Beijing, Shanghai na Hong Kong bado inamaeneo watu wanaishi kama wako Kyela!
Lakini katika Afrika hii hii utaona kuna nchi ambazo zinapiga hatua zaidi pole pole na ndio maana wengine tunaangalia ka nchi kama Rwanda kana potential ya kufanya kile ambacho nchi kama Uganda, Kenya na Tanzania zimeshindwa.
Na Kagame amejifunza sana kwa Mwalimu; as a matter of fact anacopy program zile zile za Mwalimu wakati wa Uhuru lakini sitoshangaa akija Rais mwingine huko Rwanda ikajikuta inaelekea huku huku tulikofikia sisi.
Hata Marekani, Japani, Ujerumani na UK ufisadi upo! Kipimo hakiwezi kamwe kuwa ufisadi. Kama uhalifu upo Detroit kama ulivyo Dar, kama wizi wa magari upo Miami kama ulivyo Nairobi; so hatuwezi kuweka kipimo kiwe uhalifu. Kama ni uchangudoa basi upo mitaa ya Ohio Dar kama ilivyo barabara ya nane hapa Detroit; hatuwezi kutumia uchangudoa kama kipimo.
Hata wamarekani wanapenda vya Ulaya, na Wajapani wanapenda vya Marekani, na Wa Korea wanapenda vya US; hatuwezi kutumia kupenda vya ulaya kama kipimo.
Ni uongozi; uongozi; uongozi;. Damu ya mzungu ni nyekundu kama ilivyo damu ya mfipa; mtandao wa mfumo wa fahamu wa Mjerumaini umetandazwa mwili kama ulivyotandazwa mfumo wa fahamu wa Mmakua! Ukienda kwa wazungu utaona kuwa makundi yao ya damu ni sawa kabisa na yale ya wanyaturu! Ndio maana utaona kuwa katika sayansi watu weusi, wachina, wahindi, wazungu, wajapani, waarabu n.k siyo species tofauti za binadamu! Sisi sote tuko specie moja tu. So hakuna sababu ya kibaiolojia wala ya kigenetic inayoweza kumfanya mtu wa Afrika kushindwa kufanya kile ambacho kinafanywa na mtu mwingine.
Ni kutokana na hilo usishangae wapo Waafrika ambao wameweza kusomea na kufanya yale ambayo tulidhania ni ya "wazungu".
Tunaendesha magari yao, tunachezea kompyuta zao, tunajifunza fizikia yao na kufanya vizuri kama wao kama siyo zaidi n.k I do not believe in the INFERIORITY THEORY OF BLACK PEOPLE.
Sasa hapa ni lazima tuangalie kitu kingine cha tofauti sana; ni kwamba huwezi kuelewa kutoendelea kwa haraka kwa Afrika bila ya kuangalia historia ya Afrika. Kwa kiasi kikubwa unaposema kuendelea kwa Europe unataka kujaribu kukutenganisha na kutoendelea kwa Afrika. There is an inversely relationship between the development of Europe and the underdevelopment of Africa. The two can not be taken singularly.
the answer again is Yes! unless we change the nature of our leadership and how we are governed we are doomed to perpetual underdevelopment. Africa suffer from an acute shortage of inspiring, daring and robust leadership. It is a sort of leadership anemia.
Hata Marekani, Ujerumani, Uingereza na kwingineko bado kuna watu wanaishi ktk umaskini. Umaskini hauwezi kufutwa kabisa kabisa hata iweje. Kusema unaweza kabisa kufutwa....hiyo ni utopia!
Miaka 12 au 13 iliyopita Uganda ndio ilikuwa poster child ya success stories za Afrika mpaka wakapata "heshima" ya kutembelewa na Bill Clinton 1998. So I'm not too impressed by Rwanda. Soon they are going to hit a plateau and we will be back here again wondering what happened. Mark my words.
Lakini Rwanda si wana TV? Sisi hatukuwa nazo....so kuna tofauti kidogo!
Nakubaliana nawe. Je, kipimo ni kipi?
Ndio unaweza kwa sababu sisi tumezidi mno kwa kupenda vya nje. Mwenyewe hapo mwanzo umetolea mfano wa mitumba ya ulaya dhidi ya nguo tulizokuwa tunatengeneza wenyewe. Leo hii watu humu wanawaona Kiranga na Bluray kuwa ma genius kwa sababu wanaandika Kiingereza "kigumu". Unachoona humu ni akisi tu ya kile jamii nzima ilivyo. Rejea kusoma kitabu chat The Beautyful ones are not yet born.....
Really? Ok...elezea basi sababu za ugonjwa wa sickle cell anaemia maana naambiwa unawadhuru zaidi watu wenye wa sub saharan Africa
Yeah...wapo wamesomea kwa wazungu chini ya uangalizi au usimamizi wa wazungu na mengi waliyosomea yameandikwa na wazungu na wameyasoma kwa kujifunza na kutumia lugha za wazungu. What's new there?
Tatizo hatuwezi kutengeneza vya kwetu. Kazi yetu ni kutumia vya kwao. Amini au usiamini ktk complex yoyote ile lakini ukweli haubadilshwi na imani yako.
NATURE BABA!ndivyo tulivyo.ndo maana wapo wataalamu ambao HAWATAKI KABISA KURUDI KWAO TANZANIA...!ukiwauliza kwanini wanakwambia ''bongo pamechoka''Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo.
Be it in Social aspect, economy, political, cultural, production, education entrepreneurship, management, leadership ot whatever, we always fail if not falling short and one has to wonder, TUNA MATATIZO GANI?
Is it psychological issues, colonial wounds, inferiority complex or just our nature?
NATURE BABA!ndivyo tulivyo.ndo maana wapo wataalamu ambao HAWATAKI KABISA KURUDI KWAO TANZANIA...!ukiwauliza kwanini wanakwambia ''bongo pamechoka''
NAAMINI kuna uhitaji mkubwa wa wataalamu......ndo maana tuna-hire experts kila leo...ndo maana tunaenda india kutibiwa kila leo,we need our professionals back here.....!hizi kelele za chura tumezichoka.wanapiga kelele huku 'THEY ARE WORKING FOR U.S ECONOMY' hell tanzanianssasa huko Bongo si wataalamu nao wapo au hao wa huko siyo wataalamu hadi waje walioko nje?
NAAMINI kuna uhitaji mkubwa wa wataalamu......ndo maana tuna-hire experts kila leo...ndo maana tunaenda india kutibiwa kila leo,we need our professionals back here.....!hizi kelele za chura tumezichoka.wanapiga kelele huku 'THEY ARE WORKING FOR U.S ECONOMY' hell tanzanians

Umegusa penyewe haswaaa!!!!