thabitabina
Member
- Apr 30, 2018
- 5
- 4
Ninavyosikia Halotel ina nafuu sana. Hebj jaribu.Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa
Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye vocha za jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Bando la 500 internet la vodacom kwa kweli linatesa bora usijiunge hata ujibane vipi hzo mb 70 ni kazi sana kumaliza lisaa
Kwa uchumi huu naomba kujua mtandao gan ambao unanafuu kwa sisi wenye vocha za jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu..acha kupotosha VODA sasa HV mbona hawana of a mzuri ..angalia mwenyewe iyo super UNI kwa sasa halafu njoo na mrejesho!TULIA HAPOHAPO BONYEZA *149*03 CHAGUA SUPA UNI 500 MB500,1000,MB1024 2000 MB1024 wiki
Hapana wanakasi sana tena 4G yao coverage yao ni mzuri kuliko VODA mkuu
Mgonjwa wewe, Hiyo voda ya baba'ako!?TULIA HAPOHAPO BONYEZA *149*03 CHAGUA SUPA UNI 500 MB500,1000,MB1024 2000 MB1024 wiki
nafikiri hizi offer zinatofautiana eneo na eneo
Mkuu hiyo tigo unaingia kwa vifurushi vipi? Maana nikichek *147*00# sioni hivyo
Menu hiyo hiyo ya *147*00# kama huvioni ujue huna hiyo offerMkuu hiyo tigo unaingia kwa vifurushi vipi? Maana nikichek *147*00# sioni hivyo
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
Hii ipo Dar na pwani tu. Mikoani 500 dk 19 voda-voda, sms 20 na mb 1.TULIA HAPOHAPO BONYEZA *149*03 CHAGUA SUPA UNI 500 MB500,1000,MB1024 2000 MB1024 wiki