Kifusi mchangani kitamu jamani

Kifusi mchangani kitamu jamani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani usiombe ukutane na mwanamke kafuga kifusi cha hali ya juu kwenye kiwanja cha mpira ...utapenda nawambia..yaliyonikuta nikaona niwahimize wa ndugu msikimbie vifusi vilivyo shiba...vina raaha yake
HAPPY TUESDAY
 
Kwa hivyo usiku kucha ulikuwa unacheza mpira😀?
 
KWeli kwa mtindo huu hatutaendelea, yaani bado kuna wanaume washamba kiasi hichi? wacha Ngwasuma iendelee kuwashika.
 
Mimi mmeniacha kifusi ndiyo nini. Bamba taa au?
Pdidy nijuze plz.
 
Jamani usiombe ukutane na mwanamke kafuga kifusi cha hali ya juu kwenye kiwanja cha mpira ...utapenda nawambia..yaliyonikuta nikaona niwahimize wa ndugu msikimbie vifusi vilivyo shiba...vina raaha yake
HAPPY TUESDAY

Mzee, hilo ni carpet lenye spring huwa linazuia hata msuguano na kuongeza spidi!
 
Jamani usiombe ukutane na mwanamke kafuga kifusi cha hali ya juu kwenye kiwanja cha mpira ...utapenda nawambia..yaliyonikuta nikaona niwahimize wa ndugu msikimbie vifusi vilivyo shiba...vina raaha yake
HAPPY TUESDAY

Mkuu au uliamua kusuka.... ukawa busy! tehe tehee
 
Duh kumbe mlikuwa hamjui. hiyo ni bustani mbona makewnu mnaifagilia na kuweka mbolea acheni tufuge kwa raha zetu.
teh teh mtazimia
 
Kifusi raha yake nini? hujaeleza ila umebakia kushadadia tu.
 
Mimi mmeniacha kifusi ndiyo nini. Bamba taa au?
Pdidy nijuze plz.

MMMHHH NA WEWE;HATA MIE NISIEJUA MAMBO NAPATA AIDIA
HILO SHAMBA LA BIBI SHOST
 
Kifusi raha yake nini? hujaeleza ila umebakia kushadadia tu.
LABDA KAMA SIJAMUELEWA VIZURI DIDY
KIFUSI=VZ
 
Back
Top Bottom