Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 356
- 666
Ebhana kumbe kifusi kina balaa hivi hapa kichwa kinauna balaa nataka kukwangua udongo kiwanja chote kwenye sehem zilizoinuka inuka
Nikimaliza hapo nitaangalia nifanyeje maana nataka kuhamia kwa kutumia Choo cha pipa mbili.
Mfuko wangu nimejenga bajeti ya 350000 + 860000 kwajili ya milango (double door moja Kwa 200000/= gril WA sebuleni na single door 150000/= wa kibalaza cha jiko pamoja na madirisha ya gril 8 na mawili ya chooni.
Nampango WA kuanza hio KAZI kesho naenda site mwenyewe kukusanya udongo angalau chepe moja moja kila hatua.