Wapendwa..
nimeinasa asubuhi redioni katika hekaheka za kusaka ugali wa kila siku....
Zaidi ya asilimia 50 ya vdume waliopima vinasaba(DNA) vya watoto, wameonekana si baba halisi(kibaiolojia) wa watoto wao...
Wadau..ingekuwa wewe ndo mmoja wao hao wazazi wa kiume....ungefanyaje...?
Kwa wale tunaotafuta yule alopew sehemu ya ubavu wet na muumba...hii ni ishara gani?tutaikabilije?
NAWAPENDENI SANA...WKEND NJEMA!!

Taarifa hii inabidi ichambuliwe kwa uangalifu mkubwa. Kwanza kupima siyo lazima, hivyo wanaokwenda kupima DNA za watoto wao ni wale ambao wana wasiwasi kwamba wenzi wao sio waaminifu. Hapa ni sawa na uchukue watu 20 ambao wana dalili za ugonjwa flani, ukienda kuwapima lazima utakuta wengi wao wana ugonjwa huo.
Kwa hiyo, hiyo asilimia 50 ni ya wale ambao waliwatilia mashaka wenzi wao na sidhani kama inawakilisha majority of marriages or relationships.