Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho.
Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho washindwe kufika mkutanoni, kipigo kizito kimeahidiwa kwa wasiofuata utaratibu
Soma Pia: Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho washindwe kufika mkutanoni, kipigo kizito kimeahidiwa kwa wasiofuata utaratibu