Pre GE2025 Kigaila: Hakuna mpiga kura amenyimwa kitambulisho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho, kunyimwa vitambulisho.
Lema aendelee kuwafungia gesti house wajumbe wake feki, vitambulisho watapokelewa huko huko gest πŸ’
 
Godi Lemaa Rasta
Lema anamkosesha ushindi Lisu kwa kiujanza na kumpatia mbowe kirahisi, lakini pia anawakoseha wajumbe fursa na haki yao ya kikatiba kupiga kura kwenye mkutano mkuu wa chadema taifa.

Sijielewe kwanini anawafungia sasa, mbona hawazidi hata mia2?πŸ’
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…