GE2025 Kigaila: Naona uchaguzi 2025 ni huru kuliko chaguzi za mwaka 2020

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Kuna tofauti, uchaguzi wa 2020 ulianza changamoto kuanzia kwenye uteuzi watu walienguliwa sana bila sababu watu wengi walikataliwa kupewa hata fomu za serikali, watu wengi pia walikataliwa kurudisha fomu za serikali na waliporudisha walienguliwa bila sababu kitu hicho mwaka huu 2025 akikuwepo alisema Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu (Bara), wa CHAUMMA kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV Oktoba 14, 205.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu anaumwa na anahitaji tiba haraka sana
 
Uchaguzi huru na haki ukowap??
Kwanini mnahubiri uhuru na uhaki wa tume kwa maneno ila matendo yake hayasanifu mnachokinadi
 
Na ule wa serikali za mitaa 2024 ulikuwa uchafuzi mtupu.
 
 
Mnatulazimisha kututeka tu ..
Ok nipo ubungo external
 
Tume kwa sasa hawana kazi wanayempinga hayupo hivyo hata matokeo wanaweza kutangaza ndani ya masaa manne wakamaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…