Kigali Vs Dar es Salaam battle

Kigali Vs Dar es Salaam battle

Dar es salaam Vs Kigali which city is better?

  • Total voters
    26

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa.
Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar.

MAENEO YA KULINGANISHA

BIG PROJECTS
BARABARA
ENTERTAINING CENTERS like stadium
AIRPORTS
STAND/BUS/TRAIN STATION
POPULATION
MIGRANTS (Wazamiaji)
THAMANI ZILIZOPO KWENYE MJI.
NET WORTH OF CITY

NB: Kwenda kwa statistic ni vizuri zaidi
 
Hiyo poll/kura Kigali itashinda. Rwanda ina jeshi la mtandaoni kwa ajili ya PR. Fake multiple IDs kwa kwenda mbele. Rwanda wanashinda vita vyovyote vile vya ubishi wa mtandaoni kuanzia Twitter mpaka huku JF. Ili twende vizuri tuweke tu vita ya picha kwa picha kama vita vya Arusha vs Mwanza tujue ukweli ni upi
 
Na usikute mleta mada ni Mnyarwanda maana wanapenda kuonekana bors..low self esteem
 
Yote ni Miji mizuri kwa namna yake Dar es Salaam naifahamu vizuri ni jiji la kibiashara lenye wakazi wengi na lango la bandari kwa nchi nyingi za Afrika Mashariki.
Kigari sijabahatika kufika zaidi yakupaona pia palivyopangika na usafi wa Mazingira. Ni kitovu pia cha utalii na Mikutano Mikubwa ya Kiuchumi na kisiasa.
 
Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa.
Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar.

MAENEO YA KULINGANISHA

BIG PROJECTS
BARABARA
ENTERTAINING CENTERS like stadium
AIRPORTS
STAND/BUS/TRAIN STATION
POPULATION
MIGRANTS (Wazamiaji)
THAMANI ZILIZOPO KWENYE MJI.
NET WORTH OF CITY

NB: Kwenda kwa statistic ni vizuri zaidi
Mimi nimeishi kigali kwa miaka miwili, Dar ni nyumbani ila mleta mada hataki kutendea Dar haki yake kigali mji mkuu wa Rwanda sio wa kulinganisha na Dar es salaam kabisa, ukikatia Mwenge hassani mwinyi Rd morroco. hilo eneo tu ni tayali nzuri kuliko kigali yote,............hadhi ya Dar ni Adisababa, Nairob, Tripoli, Johnessburg Rabbat, Kampala kwa mbali ila sio kigali au Bujumbura au Lusaka.
 
Hiyo poll/kura Kigali itashinda. Rwanda ina jeshi la mtandaoni kwa ajili ya PR. Fake multiple IDs kwa kwenda mbele. Rwanda wanashinda vita vyovyote vile vya ubishi wa mtandaoni kuanzia Twitter mpaka huku JF. Ili twende vizuri tuweke tu vita ya picha kwa picha kama vita vya Arusha vs Mwanza tujue ukweli ni upi
Mkuu aisee nashukuru kama una elewa hicho kitu kwamba wao wana “online millitary campany”!!

🤝🤝🤝
 
Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa.
Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar.

MAENEO YA KULINGANISHA

BIG PROJECTS
BARABARA
ENTERTAINING CENTERS like stadium
AIRPORTS
STAND/BUS/TRAIN STATION
POPULATION
MIGRANTS (Wazamiaji)
THAMANI ZILIZOPO KWENYE MJI.
NET WORTH OF CITY

NB: Kwenda kwa statistic ni vizuri zaidi
Mimi nimeishi MAJIJI [KGL na DSM] yote mawili kwa muda wa zaidi ya mwaka, kila sehemu.

Nilichopenda KIGALI, ni sehemu ambayo unaweza kuingia na kutoka nje ya nchi kwa muda usiopungua masaa matano [5 hours] kwa njia ya barabara.

Yaani unaweza kwenda BURUNDI! Unaweza kwenda UGANDA! Unaweza kwenda TANZANIA! Unaweza kwenda DRC! Ndani ya muda wa masaa matano [5 hours] ukiwa pale KIGALI.

Mambo mengine ni kawaida! Lakini kikubwa nilichoambiwa nikiwa KIGALI - ikitokea kuna matatizo TANZANIA, tusikimbilie RWANDA na tukimbilie KENYA.
 
Kwanini tusikimbilie Rwanda na kenya?
 
Mimi nimeishi kigali kwa miaka miwili, Dar ni nyumbani ila mleta mada hataki kutendea Dar haki yake kigali mji mkuu wa Rwanda sio wa kulinganisha na Dar es salaam kabisa, ukikatia Mwenge hassani mwinyi Rd morroco. hilo eneo tu ni tayali nzuri kuliko kigali yote,............hadhi ya Dar ni Adisababa, Nairob, Tripoli, Johnessburg Rabbat, Kampala kwa mbali ila sio kigali au Bujumbura au Lusaka.
Ndio maana nimekili kua dar si level ya kigali
 
Yote ni Miji mizuri kwa namna yake Dar es Salaam naifahamu vizuri ni jiji la kibiashara lenye wakazi wengi na lango la bandari kwa nchi nyingi za Afrika Mashariki.
Kigari sijabahatika kufika zaidi yakupaona pia palivyopangika na usafi wa Mazingira. Ni kitovu pia cha utalii na Mikutano Mikubwa ya Kiuchumi na kisiasa.
🤝kura yako inaenda wap
 
Back
Top Bottom