Kigamboni Bridge Contract Signed

Sisi tunataka kuona daraja kwani sas ni zaidi ya miaka mitano mnapiga porojo tu, Kusaini mkataba si kuanza kwa ujenzi.....

Kinachotakiwa hapa ni daraja tu...

Je huo mkataba na jamaa mmeusoma au mnatia tu sahihi?
 
Unlike PPF na mashirika mengine ya serikali
mkataba umepitiwa na wanasheria wote wameridhika nao
 
yetu macho mpk tuone wameanza kazi ndo nitaamini manake imeshakua hadith
 
Nikiangalia hili daraja kimsingi haliwezi kujengwa pale feri zinapovukia pantoni maana liko fixed na there is no way likawa na headroom kwa ajili ya kupitisha meli! Likijengwa itakuwa ni good start, hopefully itakuwa ni kurasini ambapo hata sea span itakuwa shorter ukilinganisha na pale feri!
 
Of course kitalipiwa kama unavyoona hapo juu kwenye Dartford bridge London

sasa mdau hili darasa ni ukomboz kwa walalahoi?au ndo litakua kwa ajili ya wakaz wa kigambon mpya
 
What is the total cost of this project?
 
Ndio maana nikasema litajengwa Kurasini creek
 
Unlike PPF na mashirika mengine ya serikali
mkataba umepitiwa na wanasheria wote wameridhika nao

bwana mkubwa,mbona unatuaminisha kuwa mkataba hauna utata umepitiwa na wanasheria,wakat tunajua mikataba yote hupitiwa na wanasheria na mwisho huwa ni mzozo
refer Richmond,IPTL,MIKATABA YA MADINI N.K
 
sasa mdau hili darasa ni ukomboz kwa walalahoi?au ndo litakua kwa ajili ya wakaz wa kigambon mpya
Cost benefit analysis ilifanyika na faida ni kubwa kwa wananchi kuliko hasara
 
bwana mkubwa,mbona unatuaminisha kuwa mkataba hauna utata umepitiwa na wanasheria,wakat tunajua mikataba yote hupitiwa na wanasheria na mwisho huwa ni mzozo
refer Richmond,IPTL,MIKATABA YA MADINI N.K
Lakini huu si mkataba wa Richmond,IPTL, Mkataba wa madini na ile ya pensio funda kama PPF etc
Nakuhakikishia huu mkataba umetulia na hakuna atakayelose kitu ni win win situation kwa wote
 
Serikali imeamua kujenga darasa,coz wanajua kuwa Kigambon utakua mji wa kibepari,so watanufaika nao,na c vingnevyo
 
lina sehemu ya wenda kwa miguu? je nao watalipia?
 
jamani hili daraja liko kwenye mpango mzima wa mji mpya wa kigamboni tatizo hapa natumia siwezi kuweka link ya documentary kutoka you tube inaitwa 'the blue diamond of kigamboni' ambapo marekani ndo iko nyuma na mpango huu hapa hamna cha NSSF kutoa hela yake bali atakuwa refunded na serikali haiwezi kusema ukweli
 
Ila NSSF mkubuke kuweka na interests kwenye hela zetu ambazo kila leo mnazizungusha uku na kule
 
What is the total cost of this project?

The construction cost is estimated at 100bn/- with the government bearing 40 percent while the remaining 60 percent will be borne by the National Social Security Fund (NSSF).
 
Lakini huu si mkataba wa Richmond,IPTL, Mkataba wa madini na ile ya pensio funda kama PPF etc
Nakuhakikishia huu mkataba umetulia na hakuna atakayelose kitu ni win win situation kwa wote

hahahahahah,kweli mtoto wa Dr Dau unajua ku'shawish,ila historia ina0nesha kuwa huwa tungeuka kuwa loser
 
Ila NSSF mkubuke kuweka na interests kwenye hela zetu ambazo kila leo mnazizungusha uku na kule
Tunajitahidi sana kuwasikiliza wanachema wetu

Je unaweza kuwafananisha NSSF na PPF au PSPF au mifuko mingine ya pensheni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…