Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka.
Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni.
Soma Pia: Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani
Hii ni ishara kuwa hata ndani ya chama CCM bado kuna mtafaruku na mambo hayako shwari kama tunavyoaminishwa.
Kwa niaba ya Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable na johnthebaptist ningependa kufunga uzi huu kwa kuweka video hapo chini.
Nawasilisha