Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka.
Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni.
Soma Pia: Vurugu zaibuka Uchaguzi wa CCM Kibosha Mkoani Pwani
Hii ni ishara kuwa hata ndani ya chama CCM bado kuna mtafaruku na mambo hayako shwari kama tunavyoaminishwa.
Kwa niaba ya
Lucas Mwashambwa Tlaatlaah ChoiceVariable na
johnthebaptist ningependa kufunga uzi huu kwa kuweka video hapo chini.
Nawasilisha
Ndugu wananchi,
Friends, ladies and gentlemen,
Each and everything within CCM opinion polls processes are under control.
hakuna haja ya kubabaika na taharuki zinazosambazwa mitandaoni na wasio husika nazo eti mambo ya mchujo katika kura za maoni yamekwama. No, that's not true.
Mambo yamekwenda vizuri mno, wagombea uongozi makini wamepatikana kwa haki na amani sana maeneo yote palipofanyika zoezi hilo.
ifahamike wazi kwamba,
CCM ina utaratibu wake wa kura za maoni, sheria na kanuni za teuzi kwa wagombea wake wa nafasi mbalimbali za uongozi ikiwa ni pamoja na serikali za mitaa na vijiji.
Napenda kukiri kua,
kasoro na dosari ndogo ndogo katika uchaguzi ni jambo la kawaida sana, na hutokea katika maeneo machache sana ikiwa ni ndani ya CCM. Na kwa kiasi kikubwa hudhibitiwa, husahihishwa na kurekebishwa na hatimae huchaguzi au uteuzi huo hukamilishwa.
Nitoe wito kwa wadau wa demokrasia nchini, hususani wa humu jukwaani kuepuka na kubabaika dosari na kasoro kidogo zilizotokea kwenye maeneo mawili tu kati ya maeneo mengi sana yaliyofanya kura za maoni.
taarifa ya chama itaeleza kwa kina zaid, hatua muafaka zilizochukuliwa π