babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
nimeuliza tu naona wewe ndo umetumwa mbona unakua mkali?Acha kuweka mambo ya uraibu hapa!JK ameshazungumza paleKilimani Club Dodoma wakati wa kikao cha bunge labajeti kuwa hizo ni chokochoko za wasiopenda maelendeleo kwani Kigamboni ni sehemu ya Tanzania na ni lazima iimarishwe kwa kujengwa manzari nzuri na kazi hiyo inafanyika na serikali ya TZ.
Jamani mnatia aibu kwa post zingine zisizokuwa na macho wala miguu,wakati tunaangalia mambo ya uchaguzi wa chadema hapo 4/9/09 wewe unaturudisha nyuma kabisa!Umetumwa nini kuharibu mada hapa?!