Kaka bei zako kidogo naona zipo mbali sanaaa maana inatuwia tabu sana hata kukucheck.....
Papizo nipe budget yako then ntakishauri vizuri. Mf hapa gezaulole ---- plot mbili
40 x 30 ..15m
28 x 30...10m
Vimepakana na mradi kwa maana barabara ndo imetenganisha na vipo kwenye kona.
Havijapimwa.
Mbutu vimepimwa 12,000/- per sqm