Mikwambe kuna mtaa wa kishua unaitwa Changanyikemni karibu na nyumba za NSSF , pale ni bomba sana.Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa.
Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko.
Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana bei maeneo hayo zinaonekana hazipishani sana
Kwa uzoefu wenu kisota na kibada wapi panaFaa zaidi?
1. Changamoto & faida za kila eneo tajwa hapo, ili nione wapi patafaa zaidi.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Basi aje huku Kibugumo Nako udosini vilevile.Chagua popote karibu na jamaa zako. Umesema unawafuata jamaa zako, mbona unataka kuwakwepa?
Kama mbezi beach sio mbezi ya kimara sioKisota ni bora zaidi, kwa sbbu mpangilio wa nyumba upo vizuri, eneo ni tambalale, barabara za mitaa imepangiliwa vizuri kama mbezi, ni rahis kufika kigambon, au darajanj, hakuna uswahili
Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Yah kama mbezi beachKama mbezi beach sio mbezi ya kimara sio
Kisota ambapo bei ni sawa na kibada basi chukua Kibada. Ka sababu Kisota bei itakuwa juu na panahitajika sana.Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa.
Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko.
Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana bei maeneo hayo zinaonekana hazipishani sana
Kwa uzoefu wenu kisota na kibada wapi panaFaa zaidi?
1. Changamoto & faida za kila eneo tajwa hapo, ili nione wapi patafaa zaidi.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Aisee..Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa.
Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko.
Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana bei maeneo hayo zinaonekana hazipishani sana
Kwa uzoefu wenu kisota na kibada wapi panaFaa zaidi?
1. Changamoto & faida za kila eneo tajwa hapo, ili nione wapi patafaa zaidi.
Natanguliza shukrani[emoji120]
Kibanda aibu[emoji125],Kote uko pazuri..angalia uwezo wako wa kujenga pia...uwe na uwezo wa kujenga ghorofa...sio majirani zako wana maghorofa wewe unakakibanda...