King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 4, 2012 #1 Ni katika sakata la ujenzi wa mji mpya kigamboni,wamesema serikali iking'ang'ania na mpango wao basi wataifungulia kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu na kivita ya uholanzi(The Hague) Source:Gazeti la leo
Ni katika sakata la ujenzi wa mji mpya kigamboni,wamesema serikali iking'ang'ania na mpango wao basi wataifungulia kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu na kivita ya uholanzi(The Hague) Source:Gazeti la leo