LGE2024 Kigamboni: Majina ya wapiga kura Mtaa wa Upendo hayasomeki vizuri na kutopangwa kwa kufuata alfabeti imekuwa ni changamoto sana leo

LGE2024 Kigamboni: Majina ya wapiga kura Mtaa wa Upendo hayasomeki vizuri na kutopangwa kwa kufuata alfabeti imekuwa ni changamoto sana leo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Wakuu wakati zoezi la kupiga kura linaendelea katika maeneo mengi nchini. Baadhi ya maeneo wapiga kura wamendelea kutoa changamoto wanazokutana nazo.

Sasa Katika zoezi la kupiga kura kwa viongozi wa Serikali za Mitaa ambapo katika Mtaa wa Upendo Kigamboni jijini Dar, changamoto iliyoainishwa ni majina ya wapiga kura kutosomeka kwa urahisi kutokana na majina yaliyobandikwa karatasi ni ya nakala (copy).

Soma Pia: Dar es Salaam: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Changamoto nyingine waliyoainisha wapiga kura ni majina hayo kutopangwa kwa kufuata alfabeti.

Screenshot 2024-11-27 105236.png
 
Back
Top Bottom