Plot4Sale Kigamboni Mwasonga tshs 10,000/sq.m

Plot4Sale Kigamboni Mwasonga tshs 10,000/sq.m

mrico

Senior Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
173
Reaction score
97
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres

Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.

Piga 0777906732
Whatsap 0683325564
 
Attachments

  • IMG-20160921-WA0002.jpg
    IMG-20160921-WA0002.jpg
    50.7 KB · Views: 95
  • IMG-20160921-WA0001.jpg
    IMG-20160921-WA0001.jpg
    55.8 KB · Views: 84
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres

Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.

Piga 0777906732
Whatsap 0683325564

Vipo km 8 kutoka kiwanda cha Nyati Cement,
Hii inatoa fursa ya kupata saruji kwa bei poa.
 
hivyo viwanja viko umbali gani toka daraja la kigamboni?
 
Hahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
Kaka nenda boko ,tegeta bei za cement tofauti na gongolamboto,utajua advantage ya kukaa karibu na kiwanda
 
Sijui kama nipo sahihi ILA naona kama bei ya hivi viwanja inazidi kushushwa. Si ajabu mwaka mmoja kutokea sasa hivi viwanja hivi vikawa vinauzwa 6000-7000 kwa square metre moja (This is just a prediction : Wachumi nikosoeni).Ahsante
 
Kaka nenda boko ,tegeta bei za cement tofauti na gongolamboto,utajua advantage ya kukaa karibu na kiw
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres

Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.

Piga 0777906732
Whatsap 0683325564

mimi nauza Kibamba sqr metr 400 kwa 2m.
means 20X20 mtrs.
 
Mkuu nahitaji 1200sqm ntavionaje na hati nitapata baada ya muda baada ya kulipa?
 
Hahaha....! Kwahiyo wanaoishi karibu na TBL au Twiga Cement wanapata bidhaa zao kwa bei poa, tofauti na sisi tunaoishi mbali na viwanda hivyo?
ujirani mwema huwa unazingatiwa daah
 
Square Feet/Meters: 164,042 ft2/50,000 m2/12 acres

Zaidi ya viwanja 50 vinauzwa Kigamboni Mwasonga,Karibu na Mradi wa Real Madrid soccer Academy na Nssf.
Umeme na maji vipo.
Bei ni tsh 10,000 kwa mita za mraba.
Unapata hati ya umiliki.

Piga 0777906732
Whatsap 0683325564
Huko mwasoga ndo upande gan? Njia ya geza au njia ya kibada to kongowe?
 
Vipo km 8 kutoka kiwanda cha Nyati Cement,
Hii inatoa fursa ya kupata saruji kwa bei poa.
Hapa ndio umepoharibu.
Waulize wato wa Wazo baadhi yao watakuambua
Kuwa karibu na viwanda hasa Cement ni janga la cancer bila kujijua
 
Back
Top Bottom