Kigamboni ni sehemu nzuri Sana kuishi Dar es salaam kwa sasa

Tokea nijhamie huku sijutii Hali ya hewa nzuri Sana kumetulia kibada Hadi mjimwemaView attachment 2859429
Kama ni kibada labda maeneo yaliyopimwa ila sio kwenye squata kwa wenyeji wazaramo.
Ukijichanganya maeneo ya wazaramo na wapemba huko uswazi utaomba poo.

Kigamboni,mjimwema, kibada surveyed plots,mikwambe,twangoma,geza, dege,mbitu pako powa ila jitahidi usipakane na wazaramo ama wapemba labda nawewe uwe mlozi kama wao.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tokea nijhamie huku sijutii Hali ya hewa nzuri Sana kumetulia kibada Hadi mjimwemaView attachment 2859429
Kigamboni Joto kwa sasa ni 36 Centgd.
Kigamboni kama humiliki gari unavuka na Panton ni kipengele, tumekaa kila siku tunawaombea lisitokee baya kwenye zile ferry zenu.
Kigamboni ikitokea Tsunami mtazikwa Baharini. Wakati wa kimbunga JOBBO watu walizikimbia nyumba.
Kigamboni imezingirwa na Fuel Tanks siku zikilipuka maaafa yatakua kiama.
Ada ya kuvuka kwenda Mjini na kurudi kwa mwezi elfu 90.
Kwa kifupi Kigamboni pako kushoto na kuishi huko endapo unaanza maisha na unamiliki gari ni kimeo sana.
Lkn pia kuishi Kigamboni kwa wale wazee wa RISK CALCULATION ni HIGH RISK ZONE.
Kwaheri
 
Hivi kila mzaramo na mpemba ni mchawi? Kwa hiyo huko usukumani, uhayani, uchagani nk hakuna wachawi?
 
Daraja.
Halafu Posta kila siku ukafuate nini?
Yaani wewe tangu utoke kwenu Tabora unadhani kila mtu kweny jiji hili lazima afike Posta kila siku. Kufuata nini?
 
Daraja.
Halafu Posta kila siku ukafuate nini?
Yaani wewe tangu utoke kwenu Tabora unadhani kila mtu kweny jiji hili lazima afike Posta kila siku. Kufuata nini?
Hapa naongea na watu wenye bizness na mihangaiko yao ya Mjini kila Uchao. Kwa wewe unayeshinda kwa Shemeji yako mguu juu ya meza na Rimoti ya DSTV mkononi hutonielewa Bw mdogo. Nenda kwenye mada za MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…