Kigamboni ni sehemu nzuri Sana kuishi Dar es salaam kwa sasa

ACha kuabudu ushirikina..
 
Hapa naongea na watu wenye bizness na mihangaiko yao ya Mjini kila Uchao. Kwa wewe unayeshinda kwa Shemeji yako mguu juu ya meza na Rimoti ya DSTV mkononi hutonielewa Bw mdogo. Nenda kwenye mada za MMU
Bussiness gani inakufanya uende Posta kila siku? Toa mfano.
Labda uwe mfanyakazi , na kuna wafanyakazi wengi pia wa mabenki na mashirika na kampuni nyingi tu wanafanya kazi kigamboni.
Yaani nyie kila kitu Posta! Kha!
Acheni ushamba.
 
Huku hawatakiwi kukaa watu wa hali ya chini hasa wanaoanza Maisha,Usafiri wake ni mgumu sana.Ukiwana private car Ndio shida ingine,pantoni ulipe daraja ulipe kwenda nakurudi
 
Huku hawatakiwi kukaa watu wa hali ya chini hasa wanaoanza Maisha,Usafiri wake ni mgumu sana.Ukiwana private car Ndio shida ingine,pantoni ulipe daraja ulipe kwenda nakurudi
Ni kweli
 
Mwasonga vipi nipazuri au nipige chini?
Mwasonga uzuri wake unaletwa kwa kuwa hakuna wazawa sana, Ngoma ipo tundusongani. Hata hivyo ni sehem nzuri kwa kutuliza familia yako na hata ufugaji kule utafaa. Mji unakuwa japo sio kwa Kasi ile tunayoitegemea.

Mm pia Nina eneo huko. Na nina tamaa ya kuhamia kwangu. Nataka kupambana mwaka huu nikanunua hata mwanambaya au maeneo ya chanika. Ili mwakani nianze ujenzi. Kule kunachelewa sana kukua
 
Hiv we kw akili zako pale maeneo ya Ma tank makubw ndio kigambon yote duh. Kigambon ni kubwa San Yan. Acha wale waliojiban pale karb na matank fany utembee kwnza MAWENI, MJI MWEMA. VIJIBWENI, GEZA, KISARAWE 2 , MWONGOZ, DEGE, CHEKA, MBUTU, MWASONGA, KIMBIJI, KIBADA, MIKWAMBE Aisee siwez kumaliz lkn ni wilaya kubw San. Pale industrial area ni kudog San. Na kigambon haina joto Kam wilaya nyngn sbb haijasongaman San
 
Yaan huyu ni sawa na amtishie mtu asiishi wilaya ya Ubungo kisa kuna Tanesco ambapo mitambo yake ikilipuka watu wanaokaa ubungo watakufa!!!
 
Huku hawatakiwi kukaa watu wa hali ya chini hasa wanaoanza Maisha,Usafiri wake ni mgumu sana.Ukiwana private car Ndio shida ingine,pantoni ulipe daraja ulipe kwenda nakurudi
Umeweza kumiliki gari buku jero ya kulipa darajani huwezi kukosa
 
Umeweza kumiliki gari buku jero ya kulipa darajani huwezi kukosa
Kumiliki gari na huku jero sio ishu mzee,Piga hesabu ya mwezi na Mwaka,hapo hujaweka service na mafuta.

Ndio maana nasema kwa wanaoanza maisha sio sehem sahihi kwa kukaa kama unatumia gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…