Kigamboni sehemu yenye speed camera nyingi barabarani

Hilo eneo ni Bora utembee usiku Tu maana tochi zake nahisi zinapigwa na majini au wachawi
 
Juzi niko kikazi nimewawashia taa kabisa namwona mmoja anapiga chabo kamera yake na mwenzie anaingia barabaran kunisimamisha!

Nikasema hawa tutakutana ofisini au waweke road block!
 
Hivi kwanini Kigamboni kuna camera nyingi barabrani za speed au ni kwakuwa nje ya DSM yaani unadrive kama unasafiri mkoani
Kigamboni hakuna traffic jam hivyo hufanya watu kuendesha magari kwa speed kubwa sana hali inayohatarisha maisha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…