Habari ndio hiyo, Kigamboni haina serikali. Watu wanaendesha maisha wanavyotaka wao. Ikifika saa mbili usiku nauli zinapandishwa kwa kiwango wapendacho madereva kuanzia TZS 500 hadi TZS 1000.
Mheshimiwa kumbe upo humu JF!Katika mchango kwenye bajetiya Wizara ya Uchukuzi jana niliongelea kuhusu kukatisha ruti na upandishaji wa nauli holela katika Jimbo la Kigamboni. Vile vile nimeshawasiliana na Mhe.Waziri kwa hatua zaidi.
Ninaomba kujua ruti nyingine zenye matatizo kama haya ili niweze kuzifanyia kazi. Ahsanteni.
Dkt Faustine Ndugulile
Mbunge Kigamboni
Mheshimiwa kumbe upo humu JF!
asilimia kubwa ya hiace za kigamboni hazina mistari ubavuni inayoonyesha inaelekea route gani lakini cha ajabu zinaendelea kutoa huduma bila kuchukuliwa hatua.
Mheshimiwa sio mbaya ukaangalia na swala la uporaji kwani ikifika saa 11 jioni kigamboni sio salama kwa watembea kwa miguu.
karibu jf muheshimiwa pitia na jukwaa la mmu muheshimiwa mbunge... karibu sanaKatika mchango kwenye bajetiya Wizara ya Uchukuzi jana niliongelea kuhusu kukatisha ruti na upandishaji wa nauli holela katika Jimbo la Kigamboni. Vile vile nimeshawasiliana na Mhe.Waziri kwa hatua zaidi.
Ninaomba kujua ruti nyingine zenye matatizo kama haya ili niweze kuzifanyia kazi. Ahsanteni.
Dkt Faustine Ndugulile
Mbunge Kigamboni
Mkuu kuanzia maeneo ya Chadibwa kama unelekea feri mpaka pale Gapco ni hatari tupu.Bw Ndibalema! Nitashukuru kupata maeneo yenye tatizo la uhalifu ili niyafanyie kazi.
Katika mchango kwenye bajetiya Wizara ya Uchukuzi jana niliongelea kuhusu kukatisha ruti na upandishaji wa nauli holela katika Jimbo la Kigamboni. Vile vile nimeshawasiliana na Mhe.Waziri kwa hatua zaidi.
Ninaomba kujua ruti nyingine zenye matatizo kama haya ili niweze kuzifanyia kazi. Ahsanteni.
Dkt Faustine Ndugulile
Mbunge Kigamboni
Ni barabara zipi unazoongelea investa.tz?Mheshimiwa Mbunge nashukuru kwa jitihada zako za kusaidia kuondoa kero jimboni kwako kigamboni. Kwa kuongezea tu kwanye tatizo la usafiri, ni kukuosekana kwa vituo vya mabasi kwenye njia za kigamboni. Hii ni hatari na ni kero kwani madereva hupaki popote pale wanapojisikia ( kwenye vituo vingi visivyo rasmi).
Asante sana natumai utalifanyia kazi suala hili.
Binafsi nina furaha sana kuhusu mbunge wangu kuwemo humu jamvini na kujadili matatizo ya jimbo letu letu moja kwa moja lakini tatizo kubwa linalozungumziwa hapa sidhani kama ni la kigamboni peke yake liko maeneo mengi sana nchi kwetu na linakera sana ila naomba kuchangia hoja hii kwa mtindo tofauti kidogo, kwanza ingependa mbunge alichukulie hili jambo kama hoja ya kitaifa badala ya kuangalia maeneo ya kwetu tu maana mara nyingi hawa wanakatisha safari hujadiliana na walioko kwenye daladala na kurudia mji mwema au ungindoni na wale wanaotaka kuja upande wa mjini hupata adhabu kubwa sana ila kwa kuna matatizo makubwa sana kigambo nzima kwa ujumla hasa masuala ya viwanja, maji, elimu na afya nadhani kuna matatizo ya ki utawala maana hata ukingalia utofauti wa shule za msingi mji mwema na maweni utaona tofauti kubwa wakati ni shule majirani kuna mengi ya kujadili kuhusu jimbo letu tena ya maana ni vizuri sisi tuliopata ka nafasi haka ka kujadiliana na mbunge wetu tujenge hoja za msingi na tuziwakilishe kwa mheshimiwa mbunge kwa ajili ya kuzitafutia ufumbuzi badala ya kushambuliana humu jamvini.
Ni barabara zipi unazoongelea investa.tz?
karibu jf muheshimiwa pitia na jukwaa la mmu muheshimiwa mbunge... karibu sana