ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mkranga pata mashamba sio viwanja kigamboni is over rated na madalali wa viwanja.Nimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga..
Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya Mkuranga na Kigamboni naweza nunua kiwanja/viwanja Kwa Ajili ya kutunza kama asset Ili nije niuze baada ya miaka 10 kutanilipa zaidi?
Na bei za viwanja Wilaya hizo ikoje? View attachment 2594302View attachment 2594303
Huko mbali mbali Kwa miaka 10 ijayo let say 2032 hakutanilipa? Shida yangu nije niuze tuuMkuranga sasa hivi ni mashamba tu, tafuta sehemu nzuri nunua hekari zako kadhaa.
Kigamboni kuzuri ila uwe na pesa, au lah utapata kigamboni ya huko mbali mbali huko kimbiji, puna,buyuni huko,pemba mnazi.
Miaka 10 ijayo huenda mkuranga ikawa fresh kuliko huko puna na pemba mnazi...Huko mbali mbali Kwa miaka 10 ijayo let say 2032 hakutanilipa? Shida yangu nije niuze tuu
Kivipi mkuu ebu pambanua vizuriWatu hawana Mpango kabisa na Kisarawe [emoji16][emoji16].
Ndio Wilaya pekee licha ya kuwa jirani na Dar ila watu wamekupotezea kabisaa.
Ina watu wachache na hakuna wanaohamia kimakaziKivipi mkuu ebu pambanua vizuri
Mpaka wa Dar na Pwani Kwa wilaya ya Kisarawe una hifadhi ya msitu wa Pugu,sehemu nyingine kunapakana na Kambi ya jeshi alafu kinafuatiwa na hifadhi ya msitu wa Kazimzumbwi hivyo kuwa na ugumu wa kuwa na makazi ya watu Kwa kuwa maeneo hayo yamekatazwa kujenga makazi ya watu. Lengine wenyeji wamekuwa wagumu kuuza.Watu hawana Mpango kabisa na Kisarawe ππ.
Ndio Wilaya pekee licha ya kuwa jirani na Dar ila watu wamekupotezea kabisaa.
Kigamboni Ardhi saizi ni Ghari sana, sijui budget yako ila naamini utapata eneo dogo compared na lenye thamani kubwa compared na MkurangaNimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga..
Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya Mkuranga na Kigamboni naweza nunua kiwanja/viwanja Kwa Ajili ya kutunza kama asset Ili nije niuze baada ya miaka 10 kutanilipa zaidi?
Na bei za viwanja Wilaya hizo ikoje? View attachment 2594302View attachment 2594303
Kutakulipa mkuu ardhi huwa mara nyingi haishuki thamani!wekaza popote.Huko mbali mbali Kwa miaka 10 ijayo let say 2032 hakutanilipa? Shida yangu nije niuze tuu