Kigani

Kigani

QULATENI

New Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
3
Reaction score
0
Hivi kwanini unapotafuta mchumba wa kike lazima akuulizie mshahara wako? Kwani kuna uhusiano kati ya mshahara na mapenzi
 
hii umeiposti mara ngapi, kama nishaiona vile!
 
Uhusiano upo sanaaaaa tu mkiwa na njaa na mapenzi yanaondoka, utakuwa unawaza pesa tu ukijumlisha na njaa hata nanii kusimama itakuwa shida na mwanamke siku zote anataka security
 
Tuache kuwasingizia dada zetu,
Sijawahi kusikia msichana anauliza mshahara wa mchumba wake!
Atafahamu uwezo wako automaticaly kutokana na possesions zako!
 
Back
Top Bottom