Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Tangu nipate ufahamu juu ya mambo ya siasa ni muda sasa. Wakati Hayati Mkapa anaingia madarakani sikuwa najua habari za siasa, lakini wakati wa Kiwete nilishajua mbivu na mbichi. Kikwete alipoingia madarakani alipimwa utendaji wake ndani ya siku mia.
Magufuli nae alipoingia madarakani alipimwa ndani ya siku mia pia. Hata Rais Samia nae ndani ya siku mia alifanyiwa tathmini ya uongozi wake.
Jambo lililonishangaza ni hili la kusema miaka miwili ya Rais Samia na hata kufanya sherehe za kumpongeza. Hiki kigezo cha kusema miaka miwili ndio tumpime kimeingiaje? Au ni namna watu wamebuni mbinu ili wale keki ya taifa bila kushtukiwa?
Kama alipimwa katika siku mia za mwazo za utawala wake hili la miaka miwili limetoka wapi?