Kigodoro cha Zari

Hivi mama wa watoto kadhaa anaanza vipi kupiga Picha ya kuonyesha makalio yake?
 
Mh
shemeji yetu ana kamzigo ka kutosha nyuma.

Kuna watu walipiga mikelele humu eti kapigwa pasi huko nyuma, mbona pametuna tuna aiseeee au walikuwa wanaongopa??
Mwanamke hata awe amepigwa pasi lakini kwa muundo wa viuno vyao akiinama hivyo lazima upana na ukubwa wa "chura" utanabahi!
 
Mwanamke hata awe amepigwa pasi lakini kwa muundo wa viuno vyao akiinama hivyo lazima upana na ukubwa wa "chura" utanabahi!
Frankly speaking mkuu.

Unapendelea ile midubwasha iliyojazia hinha huko nyuma au unapendelea hivi vimbau mbau??
 
HII MITANDAO YA KIJAMII NI SHIDA, SIJUI ATAKUWA LINI WIFI YETU
 
Zari the bosslady ameamua kumwaga mboga, kutoboa sufuria na kuzima moto kwa vikurumbembe wamaomsema anavaa kigodoro kwa kupost picha inayoonesha "ze utamu" live.....
Duh hii kali mama tupe nusu
View attachment 353873
Kumbe ni kweli wakubwa wanafaidi [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Frankly speaking mkuu.

Unapendelea ile midubwasha iliyojazia hinha huko nyuma au unapendelea hivi vimbau mbau??
Vimba mbau huwa na kula ili kujua vinanogaje. Mimi nataka mwanamke mwenye afya na chura yenye mvuto. Minyama uzembe kupita kiasi hapana.
 
Naona anaonesha neema za Allah,mambo si haba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…