Dunia iko kasi vibaya mno ivi watoto wakiona shuzi la bi mdashi wao namna hiyo na wana moyo wa nyama utasema watoto wa siku hizi wana laana..?
Kabla haujapanda mbegu lazima uwe makini hawa wanawake wa siku hizi wana akili mbuzi wako radhi wauze utu ili sisi tufurahi wehu kweli.