Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

Kigodoro chamfanya Wema asihudhurie BET awards

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Watu wengi wakiwemo mashabiki wa Wema na Diamond walitarajia kumuona pamoja Wema Sepetu akimpa kampani mpenzi wake Diamond Platnumz ambaye alikuwa anawania tuzo ya BET Awards 2014 huko Los Angels, Marekani. Wema alitarajiwa kuonekana kwenye red carpet ya BET kama ilivyokuwa kwenye MTV Africa Music awards ambapo walikuwa wote S.Afrika na kina Aunty Ezekiel na team ya Diamond.

Hata hivyo chanzo kimoja kilicho karibu na Wema na Aunty kimeelezea kuwa moja ya sababu iliyomfanya Wema ashindwe kwenda BET Awards licha ya kueleza kuwa angehudhuria kupitia Instagram siku kadhaa nyuma ni kufanyika kwa sherehe ya rafiki yao mmoja maeneo ya Mwananyamala nyumbani kwa Aunty Ezekiel juzi, ambapo asingeweza kuwaacha mashosti zake hao peke yao pasipo sapoti yake katika shughuli hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo kilichoomba kutowekwa wazi jina lake walicheza sana ikiwemo muziki wenye mahadhi ya kigodoro ambayo ni ngoma/ muziki uliyojipatia umaarufu siku za hivi karibuni kiasi cha "kuwawehusha" baadhi ya kinadada wa mjini.

"Wema hajaenda BET Awards alikuwa kwenye kigodoro Mwananyamala na kina Aunty, kuna rafiki yao anaitwa Imelda alipata mtoto ndo wakamfanyia sherehe. watu walikula, kunywa na kusaza, walichezajee ! kajala na wema walimaliza mgomgoro wao hapo, ntakutumia na picha pia ila usinitaje" kilisema chanzo hicho ingawa kilishindwa kutuma picha hizo kwa wakati mpaka tunaandika habari hii.

Katika tuzo za BET Awards Diamond hakuwa na team kubwa kama ilivyokuwa tuzo za MTV nchini S.Afrika.

wema gani huyuuu wa mashauzi classic au mwingine?
 
Huo ni uongoo yaan Wema au mwingineee aache kwenda kuonana na kina beyonce akalie kigodoro akamdanganye petit man

Mwenzangu akamdanganye shoga yake cheusi dawa aunty ezekiel, yan aache kwenda kuuza nyago ulaya na akina nelly kisa kigodoro cha yule chaumbea wa global imelda mtema, anawazimu kweli si aseme tu ndomo kamtosa jamani, maana alijipa promo mwenyewe insta sasa ivi katoswa anajifanya kuzuga
 
Huyo huyo wema mama ubaya, eti aache kukwea pipa kisa kigodoro cha uko tandale huyu anatufanya sisi akina peti

Shangaaaa binamu anadhania sie ni misukule yakee anayoilisha hapo kwakee, binamu siku hiz mbona sisikii bata wapii na kutuza watu pesaaaa!!!
 
Huyo huyooo mwenye kichwa kama fugo ya ugaliii

Km yeye miss global si kweli kili music tu...tulijuta sembuse kwa obama kwenda kuuza sura na nelly!hayo maneno ya mkosaji aonekane anathamini ushoga kuliko mtoni...hebu aseme alikua hana nauli tutamuelewa!
 
Huyo huyo wema mama ubaya, eti aache kukwea pipa kisa kigodoro cha uko tandale huyu anatufanya sisi akina peti

yaani magazeti yanapenda kumtukuza kweli global bila wema hawaendi chooni.....poleni sana kina imelda maana bila wema mjini hampawezi!
 
Huo ni uongoo yaan Wema au mwingineee aache kwenda kuonana na kina beyonce akalie kigodoro akamdanganye petit man

Nimecheka sana hapo, hivi huyu dogo ana kazii gani kwa wema hivi??
 
Kwenda USA au nchi zingine za EUROPE sio kama kwenda South AFRICA ambapo mtu unaingia tu bila VISA na muda wowote unaotaka huko kutakuwa na sababu ndio maana hajaenda....
 
Shangaaaa binamu anadhania sie ni misukule yakee anayoilisha hapo kwakee, binamu siku hiz mbona sisikii bata wapii na kutuza watu pesaaaa!!!

Wa kumpa hizo pesa za kutunza watu ovyo nani? Ndomo? Labda sio yeye , sasa ivi kwenye masherehe unaambiwa kajala ndo bosslasy nasikia alimtunza mtoto wa imelda lak 8 , mama ubaya ataichora chini na ndomo wake , bora arudi tu kwenye umalaya wake kama zamani
 
Shangaaaa binamu anadhania sie ni misukule yakee anayoilisha hapo kwakee, binamu siku hiz mbona sisikii bata wapii na kutuza watu pesaaaa!!!

Best nimepata umbeya, nasikia ule usiku wa kigodoro wema na kajala walifumwa vichochoroni wakishikana shikana na kulana madenda, watu wakauliza nyie vipi mmelewa au, wenyewe wakasema wawaache walale kwani walimisiana sana so wana enjoy, wambea wanasema eti ugomvi wao ulichangia pia na hayo mambo ya kukoboana
 
yaani magazeti yanapenda kumtukuza kweli global bila wema hawaendi chooni.....poleni sana kina imelda maana bila wema mjini hampawezi!

Sasa ivi naona florah mbasha kampiku wema , maana karibia mwezi florah ndo anaongoza kwa kuandikwa kwenye magazeti ya shigongo
 
Wema alikosa nauli au ndomo aliona hana hadhi ya kwenda nae USA
 
Back
Top Bottom