Pale ulipoamua kuirejesha hii thread ungetafuta kwanza updates za hapo juu manake Wema huyu huyu anavyopenda attention kweli angeweza kuiacha Red Carpet ya BET kwa tusababu tudogo kama huto hapo juu? Au alipogwa za uso kuhusu mambo ya Visa?Hata hivyo chanzo kimoja kilicho karibu na Wema na Aunty kimeelezea kuwa moja ya sababu iliyomfanya Wema ashindwe kwenda BET Awards licha ya kueleza kuwa angehudhuria kupitia Instagram siku kadhaa nyuma ni kufanyika kwa sherehe ya rafiki yao mmoja maeneo ya Mwananyamala nyumbani kwa Aunty Ezekiel juzi, ambapo asingeweza kuwaacha mashosti zake hao peke yao pasipo sapoti yake katika shughuli hiyo.
Pale ulipoamua kuirejesha hii thread ungetafuta kwanza updates za hapo juu manake Wema huyu huyu anavyopenda attention kweli angeweza kuiacha Red Carpet ya BET kwa tusababu tudogo kama huto hapo juu? Au alipogwa za uso kuhusu mambo ya Visa?
Nini hakijaeleweka? Post ni ya mwaka jana na umedai Wema hakwenda kwenye tuzo za BET kwa kuwa kulikuwa na sherehe ya rafiki yake! Ndipo nikahoji, hivi kweli Wema anavyopenda kuonekana anaweza kuacha kwenda kwenye tuzo za BET kwa ajili ya sherehe local? Sasa kwa kuwa hii thread ni ya muda na kisha umeirejesha, nilichotarajia ni update kwamba, (mathalani) imegundulika ambacho kilimfanya Wema asiende BET ni kwa sababu XYZ coz' bado kwangu haiingii akilini kwamba anaweza kuiacha Classic Red Carpet kwa ajili ya vigodoro!!!!Sijakuelewa
OkNini hakijaeleweka? Post ni ya mwaka jana na umedai Wema hakwenda kwenye tuzo za BET kwa kuwa kulikuwa na sherehe ya rafiki yake! Ndipo nikahoji, hivi kweli Wema anavyopenda kuonekana anaweza kuacha kwenda kwenye tuzo za BET kwa ajili ya sherehe local? Sasa kwa kuwa hii thread ni ya muda na kisha umeirejesha, nilichotarajia ni update kwamba, (mathalani) imegundulika ambacho kilimfanya Wema asiende BET ni kwa sababu XYZ coz' bado kwangu haiingii akilini kwamba anaweza kuiacha Classic Red Carpet kwa ajili ya vigodoro!!!!