Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Upuuzi mtupu..Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Mali Asili , Misitu na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliye rasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Mali Asili Misitu na Utalii
View attachment 2275490
Hii ndo tz ya kuongopa ,mtu kaaribu sehem flani unampangia KAZI nyingine Ili iweje, KWa hakuna watz wengine wajifanya KAZI izoKongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Maliasili na Utalii
View attachment 2275490
hatuna policies ? kama zipo mbona hatujamwona huyo kigogo akipandishwa kizimbani? sisi ni watu wazima sheikh !!Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Maliasili na Utalii
View attachment 2275490
Nilishawahi kusema huyu aliyeruhusu hili alifanya kama nani?Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Maliasili na Utalii
View attachment 2275490
Itakuwa alikuwa hapeleki 20%Kongole Rais Samia!

Hiyo yote ni kujisafisha mbele ya umma na kuonea watu wa chiniIle barua ilielekeza wazi kuwa serikali kupitia wizara imeruhusu usafilishaji wa wanyama pori. Mi naona reaction ya wananchi ndio iligeuza upepo ila pindi chana alihusika moja kwa moja kwenye uchafu huu. Any way nje ya maada huyu mmemtumbua,
Vipi yule aliyewashauri wa Oman wanunue limeli likubwa la kusafirisha wanyama kutoka Tanzania???
Mtu yeyote akikuambia jambo la kipumbavu Akali akijua kuwa unajua analokwambia ni upumbavu, basi jua mtu huyo ANAKUDHARAU.Kongole Rais Samia!
Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa.
Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo aliamua kwa maslahi yasiyojulikana na zaidi ya hapo alitengua Bodi zinazosimamia Mali Asili za nchi katika Wizara hiyo.
Tukumbuke Waziri Pindi Chana alivyokuja juu na kutengua ruhusa hiyo kama mwewe aliyemwangukia huyo kigogo.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"
Waziri Pindi Chana-Maliasili na Utalii
View attachment 2275490
Huwezi kuruhusu kusafirisha bila Katibu Mkuu, Waziri na Rais kuwa na taarifaNilishawahi kusema huyu aliyeruhusu hili alifanya kama nani?
Atapoozwa kwa kupewa cheo kingine pahala pengine in this country there is a room for everyoneHiyo yote ni kujisafisha mbele ya umma na kuonea watu wa chini
Ni wewe uliyetumbuliwa mkuu?Mtu yeyote akikuambia jambo la kipumbavu Akali akijua kuwa unajua analokwambia ni upumbavu, basi jua mtu huyo ANAKUDHARAU.
Mwl Nyerere alisema.
Hii ni nchi ya kutafuna tafuna siyo mbayaAtapoozwa kwa kupewa cheo kingine pahala pengine in this country there is a room for everyone
Kupangiwa kazi nyingine ndio kutemwa ?Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi, ameshatemwa rasmi.
Kigogo huyo "amepngiwa kazi nyingine"