Huyu naye ni mropokaji tu kama sophy, hivi akiulizwa athibitishe ataweza? na kwa nafasi yake kama waziri anaweza kweli kutamka upupu kama huu? inawezekana ni kweli wapo but i dont kama ni fair ku-declare publicly namna hio au na yeye alipitiwa na huyo kigogo? basi tutaoa waathirika tupu au kaona keki yake inanyemelewa na vibinti vichanga...sasa yeye ameshakua zilipendwa bana, mwanamm gani atatoka na mwamk kajitanda namna ile? mmmh

sasa kama anamjua,kwanini asimtaje?so it means naye anamkingia kifua?!ndivyo viongozi wetu wa kweli wanavyotujali???
KIGOGO AMEGEUKA CHINJACHINJA KWA UKWIMWI.
Waziri wa chi ofisi ya Rais, Hawa Ghasia amewatakahadharisha vijana wa kike wanao ajiriwa serikalini kuwa makini kutokana na kuwepo kwa kigogo anayewaambukiza ukimwi kwa makusudi.
Waziri amesema, kila mtumishi mpya anyeajiriwa anamdaka na anajua kabisa ameathirika na anaamua kuwa chinjachinja.
Amekuwa mtu wa kuwadaka wasichana wageni wanaoajiriwa,na kuwaambukiza ukimwi. Dada zetu Jihadharini na huyu chinjachinja, bado tunawahitaji.
Source: Mwananchi 23th dece 2010 ,ukurasa wa 15.
Kwani ile sheria ya makosa ya kuambukiza HIV kwa kusudi si ilishapitishwa? kwanini wasichukue hatua badala ya kuwa kama mamba asiye na meno?
Hawa ndio wale mawaziri wanaoteuliwa kwashinikizo la mke wa mkulu na sio kwa uwezo. Kuwabebabeba huku ndio kunawafanya wawe wanalopoka hovyo mambo hata yasiyo na maana ili mradi nao waonekane wapo!! Kama anamjua huyu chinjachinja kwanini asimtaje ili hao wasichana anaotaka kuwalinda wamfahamu badala ya ya kumficha, hao walengwa watamjuaje?
Hawakuipitisha kwa sababu na wao ingewabana. Mwenye VVU lini kapitisha sheria inayomshtaki mwenyewe?
Ama kweli, kiswahili ni lugha yetu ya Taifa lakini wengi bado wanafikiri kwa lugha zao za kikabila au lugha "mama".
Hawa Ghasia, hakumlenga mtu fulani. Hasha, ila kaongelea kinasaha na kuwa-asa kina dada wajichunge na "kigogo".
Sidhani kama hilo lina mjadala.
"Waziri wa chi ofisi ya Rais, Hawa Ghasia amewatakahadharisha vijana wa kike wanao ajiriwa serikalini kuwa makini kutokana na kuwepo kwa kigogo anayewaambukiza ukimwi kwa makusudi. Waziri amesema, kila mtumishi mpya anyeajiriwa anamdaka na anajua kabisa ameathirika na anaamua kuwa chinjachinja."Ama kweli, kiswahili ni lugha yetu ya Taifa lakini wengi bado wanafikiri kwa lugha zao za kikabila au lugha "mama".
Hawa Ghasia, hakumlenga mtu fulani. Hasha, ila kaongelea kinasaha na kuwa-asa kina dada wajichunge na "kigogo".
Sidhani kama hilo lina mjadala.
uhhh ...nilidhani ni my Kigogo ambaye mpaka saa hii bado yupo jela......sasa huyu waziri akishitakiwa kwa kunyanyapaa atamlaumu nani.....mbona anakuwa kama hajaenda skuli
siyo wote wanaoenda skuli wanaelimika..