Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Hofu ya ccm ni kushindwa, hawajui kuwa ndio njia ya kushindwa kwa haki.
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?

Akija kuwaambia ninyi wauaji ana kwa ana mtamwacha? Kama mnaua mtu kuchoma picha aliyoichora mwenyewe sembuse huyu aliyeuanika uovu wenu kwa maandiko ya wazi kabisa!
 
Huyo Polepole unafiki ndio unamsumbua. Tangia mwanzo hakupenda katiba ifatwe baada ya kifo Cha Mh marehemu Magufuli.
Akakae tu huko Sweden , Tanzania inasonga mbele.
 
Truth pains but must be told.

Ameongea ukweli.
Alichokisema ni ukweli mtupu usip na doa.

Tupo katila laana kubwa. Fikiria waliostahili kuwalinda wananchi ndio waliogeuka kuwa hatari kwa maisha ya wananchi.
 
Huyo Polepole unafiki ndio unamsumbua. Tangia mwanzo hakupenda katiba ifatwe baada ya kifo Cha Mh marehemu Magufuli.
Akakae tu huko Sweden , Tanzania inasonga mbele.
Mnasonga mbele na ushetani wa kuwateka na kuwaua wananchi!!
 


Hakika. Ndiyo maana kanisa katoliki limeandaa maombi maalum ya kumlilia Mungu kwaajili yawadhulumu haki.
 
Hivi mnajua maana ya kuomba ukimbizi au mnapayukapayuka tu humu
Kweli huu mtandao umejaa vilaza na mapoyoyoyo....
Huyo hapewi ukimbizi hata na Bangladeshi, hana vigezo vyovyote vya kupewa huo ukimbizi, atarudi bongo na kuanza kusota benchi na makelele yake mitandaoni....
 
Hutaaki Shutuma zipite kimya kimya ila kifo cha kibao na wengine ni sawa kupita kimya
UJINGA NI KANSA
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Nilijuaga wewe ni Smart aisee

Kumbe Cuba ni Ulaya, hata google imeshindwa kukusaidia?
 
Kama ni kweli habari hii, ifahamike yeye ndio alikuwa anaoongoza propanda chafu dhidi ya wanacdm waliokimbia utawala wa Magufuli, kuwa wameenda kutumika na mabeberu. Karma is a bitch.

..kama Polepole ameomba ukimbizi ili awe mahali salama na afumue mambo makubwa zaidi namuunga mkono.

..Kama ataishia tu katika barua ya kujiuzulu na hataongeza lolote la maana nitampinga, na kumlaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…