Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

hana athari wala madhara yoyote ya kisiasa, kijamii na hata kiuchumi nchini.

hata hivyo,
inafaa aje ajibu tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na uhujumu uchumi 🐒
Anzeni kujibu nyinyi ufisadi ulioibuliwa na CAG kila kona za CCM
 
Kabla ya kwenda huko wewe utakuwa umekufa na wenzako kwa laana ya mliowaua kuwateka kuwabambikia kesi Uongo
 
Kwani nchi hiyo hawajui kuwa alikuwna na awamu ya tano
 
Dogo amechanganyikiwa huyu badala ya kukaa ale taratibu akicheza na watoto wa Cuba amtafute Oscar Kambona amuulize
 
Yeye amekanusha
 
Yaliyotukia kipindi Polepole ameshika hatamu chini ya Magufuli na yanayotokea wakati wa Samia, utofauti ni mdogo, kwa mtazamo wangu. Japo anolopigia kelele bado ni changamoto za jamii.
Polepole alikuwa sehemu ya utawala wa Magufuli ambao ulifanya yanayofanana na ya sasa! na hukuona shida.
 
Ni za
Kwa kuwa sijui moyo wake hasa ngoja nisitie neno zaidi ya hili. Maana polepole wa 2020 na polepole wa kujiuzulu ubalizi ni watu wawili tofauti. Myahudi na muajemi. Hawafanani kwa kauli na matendo yao hata kwa kulazimisha.
1. Polepole wa kipindi cha rasimu ya katiba mpya
2. Polepole wa kipindi cha Magufuli
3. Polepole wa kipindi cha Samia.
Je, no. 1 = no. 3 ?????
 
Maisha ni zamu kwa zamu walikula zama za jiwe akijua kabisa harudi tena awamu ijayo lazima atafute staili ingine ya namna ya kuishi kupitia ukimbizi,nje ya ubunge hakuna nafasi nyingine ya kula Kodi zetu, baada ya viza online uhitaji kwenda ubalozini kupata viza ya kuja nchini pesa zote zililiwa na mabalozi, baada ya ujio wa control number ubalozini ni kijiwe ukitupwa kule ni kama adhabu,thus ubalozi uwafaa wastaafu.
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?

Cuba sio Ulaya. Wana hali ngumi zaidi ya TZ, that being said polepole kajitoa muhanga akirudi bongo lazima kimrambe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…