Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Ni za Kwa kuwa sijui moyo wake hasa ngoja nisitie neno zaidi ya hili. Maana polepole wa 2020 na polepole wa kujiuzulu ubalizi ni watu wawili tofauti. Myahudi na muajemi. Hawafanani kwa kauli na matendo yao hata kwa kulazimisha.
 
Ni bora ameomba ukimbizi.
...Hivi unafikiri mafele amejisikiaje?
 



Truth pains but must be told.

Ameongea ukweli.
 
Kwa hiyo kaka NAMI nikienda kuomba hofadhi ni kosa,pole pole amesha kula mema ya nchi Sasa ameamua apumzike
 
Tusiliombee vibaya Taifa letu badala yake tumwombe Mungu ampe hekima Rais akubali reforms zinazotakiwa, na mara nyingi nasema zikifanyika reforms sio lazima ccm kushindwa uchaguzi kama wananchi bado wana imani na uongozi wake serkalini.Akifanya hivyo zitakwisha
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Kuuliwa mchana kweupe kama wenzake....
Nje ya Mada: hivi Janabi bado yumo humu Tanganyika?
 
Sijastushwa na kitendo cha Balozi Polepole kujiuzulu ubalozi na utumishi wa umma kama alivyosema kwenye barua yake kwa kuwa toka mwanzo hakupenda jinsi alivyotolewa kwenye ubunge na nafasi yake akapewa Vuai Shamsi Nahodha.
Unaweza ukatuwekea kifungu chochote cha Sheria kinachompa mamlaka Rais ya kutengua uteuzi wa Ubunge?
 
Kama ni sweden, huo ni mchongo wa dr Slaa
Kwani ilikuwa ni nini rahisi zaidi,kusubiri athari za Slow Slow ama kutekeleza ule ushauri wako debe ulioumwaga humu punde baada ya moshi wa slow slow kuanza kufuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…