Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Sana kamanda yaani nasisi inabidi ifike siku twende huko maana wazungu wanatupenda sana. Pole Pole alikua rafiki yetu sana CHADEMA.
Akiwa na Magufuli Ndugu Polepole ndiye aliyepaisha jina la Mabeberu na kuwatukana sana, lakini leo kakimbilia huko na atapokelewa kwa mikono miwili
 
Akiwa na Magufuli Ndugu Polepole ndiye aliyepaisha jina la Mabeberu na kuwatukana sana, lakini leo kakimbilia huko na atapokelewa kwa mikono miwili
Lakini kwasasa Pole Pole naona ni mwenzetu na inabidi aunge mkono NRNE
 
Kigogo ahaminiki kwa sababu amemkandia sana ...kwa hiyo, anajaribu ku-sway mwenendo wa habari.
 
Ameacha kazi ulaya anaomba hifadhi huko huko, aje sasa ili aseme kile alichoandika, anaogopa nini?
Bwege tu yule. Yeye na Magufuli ndiyo walikuwa waasisi wa uvurugaji demokrasia na utawala bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…