Tetesi: Kigogo: Humphrey Polepole aomba hifadhi Sweden!

Bwege tu yule. Yeye na Magufuli ndiyo walikuwa waasisi wa uvurugaji demokrasia na utawala bora
..na Bashiru, wakashikwa masikio na vitoto vidogo vimekalilishwa itikadi za kijinga kabisa na wao wakazuzuka..viko wapi sasa, si ubwege huo!
 
Unataka povu Bure na kuwa na wasiwasi na kisichokuwepo; hivi polepole atafutwe na nani?!!!!! Ana impact gani Hadi atafutwe?!!! Mama hamfikirii tu huyo kibwengo kama anakimbia basi acha tu akimbiekimbie kifala wamlawiti wahamiaji waliopinda ulaya huko.

Huyo mbona alifahamika kitambo tu kuwa hampendi mama na alikuwa mmojawapo katika waliopanga kumdhurumu mama nafasi yake ya uraisi wakashindwa. Akaanzisha uharo wake flani aliouita shule ya uongozi lengo kuu likiwa ni kumponda mama. Huko nako alichemka kwani haikuwa inafanya vizuri. Mama asiye na kinyongo na mtu akamuokota na kumpa huo ubalozi........kwa kifupi ni mwepesi sana, Hana chochote.
 
Hizo ni mbinu za kimedani! beating from a far!!!

Naona system inataka kumuumiza mtia nia kisayansi!!

Atakachosema pole pole ndicho kitachukuliwa serious na wahisani na watachukua hatua za direct ambazo zitatuweka pagumu!

Ndipo watataka kumtosa yona ili meli isizame!!

Kwanini polepole!?

Kwasababu sio mpinzani bali ni mtu wa serikali na watachukuliwa serious!
 
Huyo ana wajomba zake hana shida. Na michongo mingi tu kawapa. She is set for life na vizazi vyake vyote. Mpaka vilembwe vya anko Abduli havitakuwa na shida wala haja ya kufanya kazi!
Poleni sana nyumbu, endeleeni kuzusha Kila mliwezalo kutunga. Mama yupo pale anaendelea kupiga kazi.......na mtamkuta baada ya mamia ya vikao vyenu
 
Poleni sana nyumbu, endeleeni kuzusha Kila mliwezalo kutunga. Mama yupo pale anaendelea kupiga kazi.......na mtamkuta baada ya mamia ya vikao vyenu
Chawa bingwa wa matusi. Mbona leo hujaporomosha matusi ya nguoni kama ilivyo kawaida yako?

Kwa sasa jifanyeni kama vile mna hatimiliki na raslimali za nchi hii lakini wakati ukifika mnaweza kuishia kuikimbia nchi hii na kwenda kufia ughaibuni kwa aibu. Historia ina mifano mingi.

Kwa sasa ni wakati wenu. Ueni. Ibeni. Tekeni. Teseni. Tukaneni. Lakini yote ni ubatili na malipo ni hapa hapa duniani!
 
CCM inadhani mpinzani wao ni CHADEMA, lakini ukweli ni kwamba wabaya wa CCM ni baadhi ya wana CCM wenyewe. Na hao ndio wapinzani wabaya maana wanaingia kwenye vikao vyao kama bunge, halmashauri kuu, kamati kuu na kwenye baraza la mawaziri. Yaani they know everything.
Polepole si alikua anaingia kamati kuu, bunge na halmashauri kuu.
Lissu hata mkutano mkuu wa CCM hajawahi kuhudhuria.
 
Mkuu, changia tu vema, hakuna povu hapo ni ukweli tupu
 
Huyo ana wajomba zake hana shida. Na michongo mingi tu kawapa. She is set for life na vizazi vyake vyote. Mpaka vilembwe vya anko Abduli havitakuwa na shida wala haja ya kufanya kazi!
..aliyeshiba ugali maharage kupita kiwango cha shibe ndio anaweza kusema hivi.
 
Unaongea usichokijua nyumbu. Nakusamehe tu.
 
Anawajua watesi wake CCM. Angeludi tu anatekwa na kupoteza.. anajua michezo yao ndio maana amejihami mapema..shida iko kwetu sisi wananchi wa kawaida..tunapotezwa kama njuguu
 
Kipindi cha awamu ya Tano lissu alipigwa risasi wanaojiita wazalendo hawakutokea SI polepole SI mpina BAADA ya MFUMO kuwaweka PEMBENI ETI NDO wanakurupuka na kujifanya wazalendo na SI bila aibu tunakomaa TU kaa Yale ya lowasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…